Kilembwe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 2,058
- 1,609
Ndio mkuu she is 17 aliwahi tu kuanza shule na amesoma ughaibuni, vilevile alikua anarushwa madarasa coz alikua na uwezo sana class.
Wewe umesema ni mwanasheria sas naomba unisaidie hili, kwa sheria za nchi yetu mtu aliye under 17 ana kuwa regarded as mtoto, na kisheria ni makosa kuajiri mtoto! na umesema mdogo wako anafanya kazi Embassy japo hukutaja ni Embassy ipi, kwa nini usianze kwanza na hao walioajiri mtoto, kabla ya kuja kwa huyu anayetaka kumuingiza mtoto katika dunia ya wakubwa!?