Mdogo wangu wa kike ndiyo kamaliza Form 6, safari ya chuo imekaribia. Nawaza ataukwepa vipi "Ukware" wa vyuoni?

Yaani mkuu we acha tuu haya mambo haya 😂😂😂😂😂
 
Ushauri mzuri na wakufuatwa.
 
Kuliwa ataliwa tu, yaani ni lazima atawekwa, hakuna shortcut katika hilo.

Muombee binti akazane tu na masomo yake, timizeni wajibu wenu kama familia ili mazingira ya kusoma yawe mazuri ila kwa chuo kuwekwa ni lazima. Kama kuna binti anamaliza chuo na "valve seal" anahitaji tuzo ya Nobel kwa sasa.

Niliishi kama mume na mke chuo for three yrs, I'm not bragging but ndio hivyo. Huenda nikapatilizwa kupitia binti yangu...
 
Huwezi Jua mzee inawezekana akapata future husband huko huko, Mimi wife wangu nlimpata chuo tena tulikua tunasoma darasa Moja..
Classmates kuoana siyo vema. Maana umri unakuwa haujapishana sana. Ke atazeeka kabla ya me
 
Hajasoma saint kayumba. Geti kali home na shuleni kuonana ni visting day tu.
Hao ndo wanakuwaga na mawenge hao kama ni geti Kali akipata mhuni akamkoleza hakika tarajia kuitwa anko baada ya miaka mmoja wa chuo
 
Miaka 18 tayari mtu mzima mpe elimu ya maisha aujue ukweli ili afanye maamuzi ya busara bila kusahau matumiz ya ndom. Usiwaze we tafuta hela unywe bia mtoto sio wako ni wa serikali
 
Umalaya ni tabia ya mtu, malaya hata kwenye nyumba za ibda ndio wanakotombeshea, kama ni muimba kwaya anaweza akawazungusha nusu ya wanakwaya akaruka nao.
 
Hii nakuunga mkono, kuna shemeji yangu alimaliza chuo fresh kabisa nilikuwa namuaminia sana, akapata kazi mkoani halafu wilayani kule akazaa na mume wa mtu halafu hana maajabu yoyote, nilishangaa sana mtoto wa Kidaresalama kwenda kuingizwa mkenge na mtu wa wilayani.
 
Mtafute mganga wa Diva akufundishe namna ya kumgeuza mwanamke kuwa zezeta wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…