Ngorunde
Platinum Member
- Nov 17, 2006
- 4,672
- 9,806
Swali la kujiuliza;Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo" na vijana 4 kwa siku.
Sasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu mdogo wa miaka 18 tu?
Wakware wasije wakapita naye mapema na kumharibia future.
Aah! Kwa maisha niliyoyashuhudia chuo, mwili unasisimka ninapoona mdogo wangu wa kike anaelekea huko.
- Wewe ulishirikije kwenye huo mtindo wa chuo,.. Positively/ Negatively ?
Jibu lake kwa kiwango kikubwa litakupa mwanga juu ya maisha ya mdogo wako yatakavyokuwa pia.
Jambo la kufamu ni kwamba tabia ya mtu kwa asilimia kubwa inachangiwa na malezi.