Mdogo wangu wa kike ndiyo kamaliza Form 6, safari ya chuo imekaribia. Nawaza ataukwepa vipi "Ukware" wa vyuoni?

Malipo ni hapa hapa mkuu,unataka atafunwe wapi ?
Kutafunwa sio lazima Kaka zako wawe washatafuna(kama ulivyosema wewe).

Mimi nimekuambia hii kitu haina formula, na nikakuambia kuna jamaa hakuwahi kutafuna ila mdogo wake alitafunwa, tena huyo jamaa ndio alikuwa mlezi wa karibu kama huyu mleta mada anavyohofia.
 
Itategemeana na msimamo wake yeye kama yeye, endapo akakosa msimamo basi tegemea kama unavyofikiria.

Pia itatategemea na sapoti utakayokuwa unampatia pindi akiwa chuo hasa sapoti ya kifedha kwani pesa isipomtosha lazima ataliwa vibaya mno😂

Mwisho,ni vema kama utampatia elimu kuhusu maisha ya chuo kabla hajafika huko.
 
Kutafunwa sio lazima Kaka zako wawe washatafuna(kama ulivyosema wewe).

Mimi nimekuambia hii kitu haina formula, na nikakuambia kuna jamaa hakuwahi kutafuna ila mdogo wake alitafunwa, tena huyo jamaa ndio alikuwa mlezi wa karibu kama huyu mleta mada anavyohofia.
Sawa mkuu Mungu awatunze wapendwa wenu.
 
Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo" na vijana 4 kwa siku.

Sasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu mdogo wa miaka 18 tu?

Wakware wasije wakapita naye mapema na kumharibia future.

Aah! Kwa maisha niliyoyashuhudia chuo, mwili unasisimka ninapoona mdogo wangu wa kike anaelekea huko.
hii muachie yeye,wajibu wako ni kumuonesha mbaya na nzuri
 
Kama mliwekeza kwenye akili yake ya kuwa lazima ajitambue basi Wala usiwe na presha lakini kama mmewekeza kupasua mitihani tu pekee pole sana, lakini hata hivyo usijisumbue na kuumia sana Kwa vitu ambavyo viko out of your control.
 
Mithali 22:6
Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee.

Ukweli mchungu ni kuwa, kama wazazi wako hawakutekeleza hilo andiko hapo juu hakuna namna, ni kutarajia lolote tu.
 
Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo" na vijana 4 kwa siku.

Sasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu mdogo wa miaka 18 tu?

Wakware wasije wakapita naye mapema na kumharibia future.

Aah! Kwa maisha niliyoyashuhudia chuo, mwili unasisimka ninapoona mdogo wangu wa kike anaelekea huko.
Kuwa open kwake mwambie asijichanganye na kuziingiza kwenye ngono nzembe na zo hovyohovyo, mwambie asiabudu mobby psychology, mwambie akizidiwa atumie kinga au wakapime kwanza na umwambie ni mwiko kuzaa na mtu ambaye sio mume wake wa halali (mtoto wa nje ya ndoa)
 
Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo" na vijana 4 kwa siku.

Sasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu mdogo wa miaka 18 tu?

Wakware wasije wakapita naye mapema na kumharibia future.

Aah! Kwa maisha niliyoyashuhudia chuo, mwili unasisimka ninapoona mdogo wangu wa kike anaelekea huko.
Vipi wewe kipindi upo chuo haukufanya hayo ambayo unaogopa mdogo ako kufanyiwa?
 
Hakuna fomyula ndugu yangu. Mdogo wako anaweza kuondoka chuoni kama alivyokwenda.

Pia anaweza akaangukia kwenye ndoa bubu za vyuoni miaka mitatu anaishi na boya kama mke na mume boya linakula na kupakua kabisa halafu wakimaliza chuo jamaa hilo linakwenda zake huko kusaka mbususu zingine. Na hapo si ajabu na mimba kadhaa atatoa kama siyo mwangalifu.

Ndoa bubu hizo pia zinaweza kuzaa ndoa halali kama lishemeji lako litanogewa na kuamua kubeba jumla.

Cha kufanya huna. Ana miaka 18 na huyo ni mtu mzima tayari. Cho chote atakachoamua kufanya ni juu yake ali mradi tu awe anajua consequences zake. Kama big bro, wewe endelea tu kumuombea na kumshauri. Mengine yote mwachie Mungu; maana ukiyawaza sana haya mambo utaishia tu kujipa siteresi wakati hata la kufanya huna!
 
Back
Top Bottom