Mdogo wangu wa kike ndiyo kamaliza Form 6, safari ya chuo imekaribia. Nawaza ataukwepa vipi "Ukware" wa vyuoni?

Mdogo wangu wa kike ndiyo kamaliza Form 6, safari ya chuo imekaribia. Nawaza ataukwepa vipi "Ukware" wa vyuoni?

Duuh watu wanampatia hasira tu...
Skia najua maumivu uliyonayo kama kaka ake, ila tambua hulka ya mtu haibadilishwi kikubwa fanya maongezi naye mpe ins and outs za maisha ya chuo then trust atafuata ushauri. Asipo fuata huna la kujutia maana kaamua mwenyewe
 
Kuna muda unafika maisha yake yanakuwa mikononi mwake, muite muweke chini usipinde pinde, mpasukie maisha yako hivi na hivi,na dunia ya sasa iko hivi na vile, ili iwe hivi unatakiwa ufanye hivi na hivi, sasa akiamua kugawa PAPA wemba ni yeye maana ni yake ila matokeo yake ni kadha wa kadha, akiamua kuwa POPO akafeli, shauri yake, sababu jukumu lako lilikuwa kumlea toka udogoni, kumuongoza, na sasa ndio inaelekea tamati ya majukumu yako maana kakua na maisha yake yanaenda kuwa mikononi mwake.
 
G4N Mkuu hatuna uhaba wa watoto wa kike wenye vyeti huku mtaani, ushauri wangu elimu yake iishie hapo na mtafutie mume aolewe au akae nyumbani asubiri akue kidogo aolewe, kama kweli unajali future yake ila kama unataka kuongeza idadi ya single mothers na wanaozurura na vyeti huku ameshatolewa kila aina ya aibu aende chuo.
 
Back
Top Bottom