Mdogo wangu wa kike ndiyo kamaliza Form 6, safari ya chuo imekaribia. Nawaza ataukwepa vipi "Ukware" wa vyuoni?

Mdogo wangu wa kike ndiyo kamaliza Form 6, safari ya chuo imekaribia. Nawaza ataukwepa vipi "Ukware" wa vyuoni?

Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo" na vijana 4 kwa siku.

Sasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu mdogo wa miaka 18 tu?

Wakware wasije wakapita naye mapema na kumharibia future.

Aah! Kwa maisha niliyoyashuhudia chuo, mwili unasisimka ninapoona mdogo wangu wa kike anaelekea huko.
Hamna kitu. Mitego inakuja pale kun somo linamsumbua na kuna vijana hilo somo wanapasua vizuri tu, atajisogeza mwenyewe. Ila kama kichwani yuko good we tulia tu.
 
But ukweli ni kuwa 95% ya mabinti wote walio na uwezo kiuchumi na wasio na uwezo .either walilewa malezi mazuri au mabovu wote wakifika chuo wanakuwa malaya.
 
Hakuna fomyula ndugu yangu. Mdogo wako anaweza kuondoka chuoni kama alivyokwenda.

Pia anaweza akaangukia kwenye ndoa bubu za vyuoni miaka miwili anaishi na boya kama mke na mume kula na kupakua kabisa halafu wakimaliza chuo jamaa hilo linakwenda zake huko kusaka mbususu zingine. Na hapo si ajabu na mimba kadhaa atatoa kama siyo mwangalifu.

Ndoa bubu hizo pia zinaweza kuzaa ndoa halali kama lishemeji lako litanogewa na kuamua kubeba jumla.

Cha kufanya huna. Ana miaka 18 na huyo ni mtu mzima tayari. Cho chote atakachoamua kufanya ni juu yake ali mradi tu awe anajua consequences zake. Kama big bro, wewe endelea tu kumuombea na kumshauri. Mengine yote mwachie Mungu; maana ukiyawaza sana haya mambo utaishia tu kujipa siteresi wakati hata la kufanya huna!
Sure mzee. Kwa sasa wanawake wamepewa unlimited freedom kwaiyo ni suala la kuwapa taadhari tu mengine wajiongoze wenyewe. Mimi nina mdogo angu wa kike namjua dogo anaempelekea moto lakini siwezi nikawaingilia ukizingaria wote ni watu wazima. Nitachukua hatua nikiona mdogo angu anapelekwa kwenye mkumbo mbaya.
 
Kiongozi fanya hivi, kaa nae chini mpe darasa kuhusu lifestyle ya chuo kwa ujumla wake. Pia hakikisha awe anaenda chuo akitokea nyumbani au kama chuo kipo mbali na nyumbani, basi atokee nyumbani kwa ndugu wa karibu na chuo. Hakikisha hakai Hostel, zungumza nae mala kwa mala kuhusu lifestyle ya chuo. Ni mtazamo tu, pia ni neno sio sheria.

Mwisho, za kuambiwa changanya na zako.
 
Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo" na vijana 4 kwa siku.

Sasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu mdogo wa miaka 18 tu?

Wakware wasije wakapita naye mapema na kumharibia future.

Aah! Kwa maisha niliyoyashuhudia chuo, mwili unasisimka ninapoona mdogo wangu wa kike anaelekea huko.
Akitoboa sana ni miezi 3 ya mwanzoni, baada ya hapo vijana wa hovyo lazma wamkamie tu.😂😂😂! Akifika mwaka wa pili anakuwa nguli wa Shisha.
 
Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo" na vijana 4 kwa siku.

Sasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu mdogo wa miaka 18 tu?

Wakware wasije wakapita naye mapema na kumharibia future.

Aah! Kwa maisha niliyoyashuhudia chuo, mwili unasisimka ninapoona mdogo wangu wa kike anaelekea huko.
Mkuu,
Kuna Topic inaitwaga

""LIFE SKILLS""

Humo ndani Kuna skills mbali mbali za kumuwezesha kijana kushinda odds za Maisha ya chuoni na ku graduate vyema..

Hofu ya mungu, nidhamu binafsi na awareness Ni nguzo muhimu Sanaa 😊
Mdogo angu very beautiful mzee alimpendaga Sanaa na amesoma shule nzuri nzuri na kufaulu vizuri mzee alipo fika elimu ya juu na akiwa mwaka wa kwanza alipata bwana engineer akapata ujauzito bila taarifa na aka postpone masomo kwa kua alipata mtu MZURI na supportive kwake mwaka huu ana graduate hapo chuo kikuu namba moja Tz
 
Back
Top Bottom