Mdogo wangu wa kike ndiyo kamaliza Form 6, safari ya chuo imekaribia. Nawaza ataukwepa vipi "Ukware" wa vyuoni?

Mdogo wangu wa kike ndiyo kamaliza Form 6, safari ya chuo imekaribia. Nawaza ataukwepa vipi "Ukware" wa vyuoni?

Unaweza kuwa sahihi kwa baadhi ya situation. Kwa kesi ya mleta mada ni ngumu sana kulithibiti hilo linalomtia hofu. Labda amfungie ndani asiende chuo wala asichangamane na jamii kabisa au ampe ushauri wa namna ya kwenda kuishi huko chuoni. Hilo la pili ni gumu kwani litafanikiwa kutokana na misingi ya malezi na makuzi ya mtoto, na si kwa nasaha na mikwara kibao. Ni kumuasa tu akafocus na kilichompeleka, awe na mpenzi mmoja mwaminifu na maisha yaendelee, hayo mengine hayazuiliki kamwe.
Ni kumuasa tu akafocus na kilichompeleka, awe na mpenzi mmoja mwaminifu na maisha yaendelee, hayo mengine hayazuiliki kamwe.
Sentensi hii nimeipenda ila hapo kwenye awe na mpenzi.... inakuwa kama umemruhusu vile. Hapo ni bora umwambie au umtanabahishe matokeo ya kujihusisha na mapenzi ilhali kusudi na lengo la kilichompeleka hapo chuoni ni kusoma na kupata elimu.
Ni kweli, ukweli mtupu kwamaba hayo mengine hayazuiliki kamwe na hakuna hata mmoja aliye wahi kufaulu huo mtihani.
 
Kama hajawahiii onja mkwajuuu akionja chuooo bhasi umekwishaaa
Dah! Hilo ni kweli lipo manake hawa wenzetu bhana, wakionja tuu, huwa wanachanganyikiwa mazima na hawasikii tena sio la mchota maji wala la mwadhini.
 
Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo" na vijana 4 kwa siku.

Sasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu mdogo wa miaka 18 tu?

Wakware wasije wakapita naye mapema na kumharibia future.

Aah! Kwa maisha niliyoyashuhudia chuo, mwili unasisimka ninapoona mdogo wangu wa kike anaelekea huko.
mshauri tu ampokee Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yake, kwasababu hapo alipo hata huko sekondari usifikiri alikuwa hafanyi hayo. mkalishe, mwambie aishi maisha ya Kimungu pengine atakwepa magonjwa na madhara mbalimbali ya magonjwa. wanawake wengi hawazai wakiolewa kwasababu walitumia sana vidonge, walitoa mimba n.k ukiachilia kupata kaswende na gono ambalo mgonjwa siku zote huweka siri na mirija inaziba kwa siri. ni Mungu pekee atamsaidia, ama la ajiandae tu, chuo lazima akadanganywe sana na kuna makundi yanaweza kumpeleka hadi kutafuta pesa mjini.
 
Xha
Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo" na vijana 4 kwa siku.

Sasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu mdogo wa miaka 18 tu?

Wakware wasije wakapita naye mapema na kumharibia future.

Aah! Kwa maisha niliyoyashuhudia chuo, mwili unasisimka ninapoona mdogo wangu wa kike anaelekea huk

Hakikisha kwenye salary yako, unaweka bajeti yake,asikose fedha, tu, kudos, pesa, isiwe sababu, ya, kuchapwa, nao,may be awe weak academically, aombe msaada kwa viwembe, hapo kaisha,
Nimekumbuka, DIT,jinsi wake za, watu walivyokuwa wanapata tabu, masomo magumu, akiomba msaada, vijana wakware, wanataka watomase msambwanda(enzi hizo 2005,tulikuwa tunaita, bambataa)
Hatari Sana,
Kupigwa exile, tulikuwa, tunaita kupigwa corridor! Mate wako anavusha goma!inabidi "ulale kwenye corridor!!
 
Jitaid apate kila kitu ili akiamua aende huko ni yeye sasa

Kikubwa ni kujitambua tuu
Anapata vyote anavyopewa anaenda kuishi na msela. Chuo demu wangu alikuwa anatumiwa michele, maharage, unga, yaani full misosi alikuwa anakuja anaileta ghetto, nilichana sana wakati ule full shavu 😁

Kikubwa jamaa awe tu muwazi akae nae chini amwambie ukweli uhalisia wa maisha ya chuo, mengine ni kumuachia Mungu tu, tena hawa watoto wa 20s ni balaa.
 
Nipe number yake nimpokee niwe mentor wake

Nko mabibo hostel (histel za masters
Masters wa mabibo sito sahau kidem changu kiliopolewa kimasihara kika ........,ila niliishia tu kucheka maana leo hii nikipita hii njia nakumbuka nilivyokuwa nacheka huku chozi kwa mbali linajivuta.

Ila yule jamaa alikuwa na pesa chafu haswa aliwachakaza sana undergraduates daaah .Gilbert popote ulipo mkubwa pongezi sana 😂
 
Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo" na vijana 4 kwa siku.

Sasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu mdogo wa miaka 18 tu?

Wakware wasije wakapita naye mapema na kumharibia future.

Aah! Kwa maisha niliyoyashuhudia chuo, mwili unasisimka ninapoona mdogo wangu wa kike anaelekea huko.
Una hakika mpaka leo hajaanza kutumika?
 
Anapata vyote anavyopewa anaenda kuishi na msela. Chuo demu wangu alikuwa anatumiwa michele, maharage, unga, yaani full misosi alikuwa anakuja anaileta ghetto, nilichana sana wakati ule full shavu 😁

Kikubwa jamaa awe tu muwazi akae nae chini amwambie ukweli uhalisia wa maisha ya chuo, mengine ni kumuachia Mungu tu, tena hawa watoto wa 20s ni balaa.
Kuepusha mengine tuu maana akikosa pia ni shida
 
Hiyo ina ahueni kuliko kuwa mbali mkuu.... Mimi naelewa huna mdogo wa kike peke yako mkuu....

.
Sawa lakini ujue hao mabinti wakikutana wawili+ huwa wanaanza kujazana ujinga na kufichiana siri ndipo mambo yanapoenda kuharibika - anaaga anaenda shuleni lakini shuleni au chuoni hafiki na akirudi amechoka anasingizia kichwa kinauma akirudi amechelewa anasingizia alikuwa anafuatilia homework.
 
1. Mpangishie chumba
2. Muwekee mahitaji muhimu kama chakula, gesi kubwa, godoro, laptop etc
3. Hakikisha kila mwezi unamtembelea na umtumie pocket money.

Ukifanya haya utapunguza vishawishi kwake kwa asilimia 80.
 
Duh! Hiyo na. 1 ndo umemkabidhi fyekeo. Atapiga jaramba hadi mwisho.
 
Back
Top Bottom