Mdogo wangu wa kike ndiyo kamaliza Form 6, safari ya chuo imekaribia. Nawaza ataukwepa vipi "Ukware" wa vyuoni?

Hii nakuunga mkono, kuna shemeji yangu alimaliza chuo fresh kabisa nilikuwa namuaminia sana, akapata kazi mkoani halafu wilayani kule akazaa na mume wa mtu halafu hana maajabu yoyote, nilishangaa sana mtoto wa Kidaresalama kwenda kuingizwa mkenge na mtu wa wilayani.
Historia inajirudia sana boss
Hebu angalia mtoto kalelewa vizuri halafu wanamuacha aende popote
Hilo linajulikana na wanawake ni dhaifu sana
 
Kwa wanawake kukaa indepent ni mtihani sana, hata waliohamia Dodoma na kutengana na familia zao ndoa zao haziko salama.
Hilo ni kweli ni asilimia ndogo sana sana wenye uvumilivu ila wengi hawana uvumilivu na kutongozwa na wanaume kila leo ni kawaida
Yaani ni wa kuhurumia sana
 
Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo" na vijana 4 kwa siku.

Sasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu mdogo wa miaka 18 tu?

Wakware wasije wakapita naye mapema na kumharibia future.

Aah! Kwa maisha niliyoyashuhudia chuo, mwili unasisimka ninapoona mdogo wangu wa kike anaelekea huko.
Wewe si ulikua unaona raha kugonga wadogo wa wenzio?Kulia ni kupokezana....zamu yako sasa
 
Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo" na vijana 4 kwa siku.

Sasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu mdogo wa miaka 18 tu?

Wakware wasije wakapita naye mapema na kumharibia future.

Aah! Kwa maisha niliyoyashuhudia chuo, mwili unasisimka ninapoona mdogo wangu wa kike anaelekea huko.
Tenga mda ukaenaye muongee kuhusu maisha ya chuo, ushauri nk akifika kule asishangae pia kama anajitambua atakuwa safe tu..

Class kwetu tulikuwa 100 plus dg moja tu ndo alikuwa katulia na ni mtu wa dni ila sijui ya ndani yake😅👐
 
1. Misingi ya malezi yake ikoje?
2. JKT itampa basics za maisha, hivyo itamjenga.
3. Mpe pia Experience ya maisha ya chuo na namna ya kuenenda akiwa chuoni.
4. Mwenye dada hakosi shemeji
 
Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo" na vijana 4 kwa siku.

Sasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu mdogo wa miaka 18 tu?

Wakware wasije wakapita naye mapema na kumharibia future.

Aah! Kwa maisha niliyoyashuhudia chuo, mwili unasisimka ninapoona mdogo wangu wa kike anaelekea huko.
nipo jirani na shule moja ya A level ,shule zenyewe hazina ukuta, watoto wanala mtaani asubuhi wanarudi shule
taabu sana
Kama vipi aolewe kwanza ndo aende chuoni
 
1. Misingi ya malezi yake ikoje?
2. JKT itampa basics za maisha, hivyo itamjenga.
3. Mpe pia Experience ya maisha ya chuo na namna ya kuenenda akiwa chuoni.
4. Mwenye dada hakosi shemeji
ukute huyo dogo ana bwana wa mtaani kwao,anaye wa la saba ,anaye wa o level, anaye wa A level,halafu jamaa ndo anawaza mambo ya chuo
 
Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo" na vijana 4 kwa siku.

Sasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu mdogo wa miaka 18 tu?

Wakware wasije wakapita naye mapema na kumharibia future.

Aah! Kwa maisha niliyoyashuhudia chuo, mwili unasisimka ninapoona mdogo wangu wa kike anaelekea huko.

Mkuu , hilo swala la kuleta maumivu kichwani Ila mjengee mfumo wa yeye kujitambua Kuwa na 'sense of who you are'

Mfundishe zaidi kuwaelewa Sana wanaume na mfundishe namna ya kuyasimamia malengo yake.
 
Mpe elimu ya afya ya uzazi na ngono salama.
Vilevile,yale mahitaji ambayo mnaweza kumtimizia kama familia fanyeni hivyo.
Akajifunze pia kujisimamia huko,kifupi cha sukari anacho na yuko huru sasa ni kujifunza Maisha mapya.

Wakipiga mara mbili tatu atakua Sawa tuu atalia atakomaa akija mtaani konki
 
Hii ndio changamoto za kuwa na mtoto wa kike,yani mpk unawaza sijui nimpeleke ulaya huko,maana hawa waswahili wetu ninavyowajua mimi hawana hata maana...
 
Kama ana
Chura ndo balaa
Mkuu sio chuoni tu hata huku ofisini mwanamke mwenye chura hata kama ni mke wa mtu yaani watu hawaogopi kabisa kupita naye. Tena awe na chura alafu hana akili hadi chura yenyewe watu wanaichimbua. Hiki ni kizazi cha nyoka bila kumeza chura hakiishi njaa. Kuna wakati mtu unatamani binti yako awe mwembambaaaa labda wahuni watamsamehe..... noma sana.
 
Hajasoma saint kayumba. Geti kali home na shuleni kuonana ni visting day tu.
Hahahaaa hao sasa ndio huwa wanatakiwa sana maana ni maamuma wazuri kweli hawajui mambo mengi sana ya uswazi yaan hao walaini sana wanatafunwa sana tena kiulaini sana na wakibutuka wanabutuka haswaa
 
Back
Top Bottom