sukariyawarembo
Senior Member
- Aug 2, 2019
- 167
- 115
Wakuu,
Naomba kujua dawa ya vidonda nje ya mdomo yaan kwenye lips..
Kuna jamaa angu kababuka mdomo wa chini,,afu mda mwingne hutengeneza utando mweupe,,
Hali iko ivo jamaa anahangaika sana,,kamdomo kamekuwa kama kameungua moto ivi, yaan kingozi cha juu kinababuka kidogo kidogo.
Wajuz wa mambo naomba kujua dawa yake HASA ZA KIENYEJI.