PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
hizi zinapatikana maduka ya madawa.Naipataje hiyo oral med
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hizi zinapatikana maduka ya madawa.Naipataje hiyo oral med
😂😂😂😂😂😂Mdogo wangu acha upuuzi na unisikilize kwa makini.
Kwa binadamu ambae anajali kinywa chake ndani kwako huwezi kukosa ORAL MED,/ or any other mouthwash, kazi yake ni kusukutua baada ya kupiga mswaki usiku ili kuuwa vijidudu .na mdomo kuwa safi.
Sasa wewe unaanzaje kushuka kigoma wakati huna mouthwash ? Hata awe msafi kiasi gani baada ya kazi lazima kusafisha kinywa. Nenda mwambie Dr yaliyokukuta.😂😂
Nb.hata wanawake mnao shikilia ile kitu mnabugia tu, lazima mkimaliza msukutuwe na oral med, hakikishen msimeze, na malizia kwa kusukutua Maji.
Sauti inatosha ama? Mweeex nyau Nyinyi😂😂😂😂😂...kidding.
Katafute hydrogen peroxide antiseptic mouth wash.Wakuu amkeni mnipe dawa.
Wiki ilopita nilipata kadada kazuri,nikaenda nako lodge ,
Kama kawaida yangu nikazama uvinza.
Saiv ndugu zangu mdomo unababuka uku kwa chini afu unatengeneza kama utando ivi.
Asa sijui ni kwa sabab ya uvinza au tatizo nn.
Naombeni dawa ya kujikwamua na hili tatizo.
NB;NIMEAPA SITAZAMA UVINZA KWA MWINGNE YOYOTE BALI KWA MKE WANGU MPENDWA TU.
asanteni.
Hydrogen peroxide antiseptic mouth wash na vitamin B complex (multivitamin ).Wakuu,
Naomba kujua dawa ya vidonda nje ya mdomo yaan kwenye lips..
Kuna jamaa angu kababuka mdomo wa chini,,afu mda mwingne hutengeneza utando mweupe,,
Hali iko ivo jamaa anahangaika sana,,kamdomo kamekuwa kama kameungua moto ivi, yaan kingozi cha juu kinababuka kidogo kidogo.
Wajuz wa mambo naomba kujua dawa yake HASA ZA KIENYEJI.
Endelea kuzama chumvini usimuogope mtu yeyote yuleWakuu amkeni mnipe dawa.
Wiki ilopita nilipata kadada kazuri,nikaenda nako lodge ,
Kama kawaida yangu nikazama uvinza.
Saiv ndugu zangu mdomo unababuka uku kwa chini afu unatengeneza kama utando ivi.
Asa sijui ni kwa sabab ya uvinza au tatizo nn.
Naombeni dawa ya kujikwamua na hili tatizo.
NB;NIMEAPA SITAZAMA UVINZA KWA MWINGNE YOYOTE BALI KWA MKE WANGU MPENDWA TU.
asanteni.
Inaitwa medi oral sio oral mediMdogo wangu acha upuuzi na unisikilize kwa makini.
Kwa binadamu ambae anajali kinywa chake ndani kwako huwezi kukosa ORAL MED,/ or any other mouthwash, kazi yake ni kusukutua baada ya kupiga mswaki usiku ili kuuwa vijidudu .na mdomo kuwa safi.
Sasa wewe unaanzaje kushuka kigoma wakati huna mouthwash ? Hata awe msafi kiasi gani baada ya kazi lazima kusafisha kinywa. Nenda mwambie Dr yaliyokukuta.[emoji23][emoji23]
Nb.hata wanawake mnao shikilia ile kitu mnabugia tu, lazima mkimaliza msukutuwe na oral med, hakikishen msimeze, na malizia kwa kusukutua Maji.
Sauti inatosha ama? Mweeex nyau Nyinyi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...kidding.
We tuachie sie wazoefu bana unavamia mjukumu ya watu bila ridhaa yetu, nyambavuu nenda pharmacy mwambie akupe vidonge vya rangi mbili njano na nyekundu fungua unga wake tia mdomoni
Upate binti Leo uzame chuvini tayari,?
Naponaje sasa mr captainPole sana mwana ndugu yetu wa Uvinza FC.
Hayo ni majeraha madogo madogo sana mpirani, labda ni kwakuwa hujawa mzoefu wa kucheza ligi ya UEFA.
Usijali Team Captain wako niko bega kwa bega kuhakikisha unapona haraka, maana ligi ndiyo kwanza imeanza.
Pole kwa maradhi mkuuWakuu,
Naomba kujua dawa ya vidonda nje ya mdomo yaan kwenye lips..
Kuna jamaa angu kababuka mdomo wa chini,,afu mda mwingne hutengeneza utando mweupe,,
Hali iko ivo jamaa anahangaika sana,,kamdomo kamekuwa kama kameungua moto ivi, yaan kingozi cha juu kinababuka kidogo kidogo.
Wajuz wa mambo naomba kujua dawa yake HASA ZA KIENYEJI.
Katafute hydrogen peroxide antiseptic mouth wash.
Na kukausha vidonda upate vidonge kumi vya ampicloxacillin meza 1 ×2 kwa siku ndani ya siku tano.