sukariyawarembo
Senior Member
- Aug 2, 2019
- 167
- 115
- Thread starter
- #41
Sawa shukran mkuuHydrogen peroxide antiseptic mouth wash na vitamin B complex (multivitamin ).
Hydrogen peroxide kma atakua ana bacterial or fungal infections itaua vijidudu na vitamin B complex inaweza kukausha vidonda pia.
Lakin km atakua na upungufu wa vitamins basi B complex itamuongezea Vitamins na kukausha vidonda vyake.
Na hvyo vidonge vya B complex inatakiwa apate 3 tablets ama vidonge 30 ameze 2×3 km tatzo ni la muda mrefu kama kuanzia wiki tatu na kuendelea.
Ila km tatizo ni la muda mfupi yan halina muda mrefu kumuanza mathalan km wiki moja hivi basi vidonge 10 ama tablet 1 itamtosha na ameze 1×2 basi.