Mdomo unababuka huku kwa chini afu unatengeneza kama utando

sukariyawarembo

Senior Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
167
Reaction score
115
Wakuu,
Naomba kujua dawa ya vidonda nje ya mdomo yaan kwenye lips..

Kuna jamaa angu kababuka mdomo wa chini,,afu mda mwingne hutengeneza utando mweupe,,

Hali iko ivo jamaa anahangaika sana,,kamdomo kamekuwa kama kameungua moto ivi, yaan kingozi cha juu kinababuka kidogo kidogo.

Wajuz wa mambo naomba kujua dawa yake HASA ZA KIENYEJI.
 
Wakuu amkeni mnipe dawa.


Wiki ilopita nilipata kadada kazuri,nikaenda nako lodge ,
Kama kawaida yangu nikazama uvinza.

Saiv ndugu zangu mdomo unababuka uku kwa chini afu unatengeneza kama utando ivi.

Asa sijui ni kwa sabab ya uvinza au tatizo nn.


Naombeni dawa ya kujikwamua na hili tatizo.

NB;NIMEAPA SITAZAMA UVINZA KWA MWINGNE YOYOTE BALI KWA MKE WANGU MPENDWA TU.


asanteni.
 
Hiyo ni underline issue rafiki yako afanye medical checkup akienda kinachomsumbua
 
Mkuu kwanini unatupotezea muda hivi?!!!!
Unazingua aisee**
Inakuwaje unashindwa kuwa mstaarabu..
Ndani ya SAA moja unaandika nyuzi mbili ukizungumzia mada moja..
Mara ulizama uvinza sasa hivi unasema rafiki yako ana shida**
Sijui mdomo wa juu unababuka mara unasahau ulichoandika juu unahamia kwenye mdomo wa chini!!
Una tatizo gani mkuu???
 
Mdogo wangu acha upuuzi na unisikilize kwa makini.

Kwa binadamu ambae anajali kinywa chake ndani kwako huwezi kukosa MED ORAL or any other mouthwash, kazi yake ni kusukutua baada ya kupiga mswaki usiku ili kuuwa vijidudu .na mdomo kuwa safi.

Sasa wewe unaanzaje kushuka kigoma wakati huna mouthwash ? Hata awe msafi kiasi gani baada ya kazi lazima kusafisha kinywa. Nenda mwambie Dr yaliyokukuta.😂😂

Nb.hata wanawake mnao shikilia ile kitu mnabugia tu, lazima mkimaliza msukutuwe na med oral, hakikishen msimeze, na malizia kwa kusukutua Maji.
Sauti inatosha ama? Mweeex nyau Nyinyi😂😂😂😂😂...kidding.
 
Ngumu kumeza hii, Ngoja wazamiaji waje
 
Bila shaka umepata Candinda
 
Ushauri mzuri sana wenye kuelimisha japo umemalizia na bonge la msonyooo.. BTW unaamini story zake?
 
We tuachie sie wazoefu bana unavamia mjukumu ya watu bila ridhaa yetu, nyambavuu nenda pharmacy mwambie akupe vidonge vya rangi mbili njano na nyekundu fungua unga wake tia mdomoni
 
 
Naipataje hiyo oral med
 
Pole sana mwana ndugu yetu wa Uvinza FC.

Hayo ni majeraha madogo madogo sana mpirani, labda ni kwakuwa hujawa mzoefu wa kucheza ligi ya UEFA.

Usijali Team Captain wako niko bega kwa bega kuhakikisha unapona haraka, maana ligi ndiyo kwanza imeanza.
 
Saut haitoshi fanya uongeze kiduchu [emoji848][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…