Mdomo unababuka huku kwa chini afu unatengeneza kama utando

😂😂😂😂😂😂
 
Mdogo wangu acha upuuzi na unisikilize kwa makini.

Kwa binadamu ambae anajali kinywa chake ndani kwako huwezi kukosa ORAL MED,/ or any other mouthwash, kazi yake ni kusukutua baada ya kupiga mswaki usiku ili kuuwa vijidudu .na mdomo kuwa safi.

Sasa wewe unaanzaje kushuka kigoma wakati huna mouthwash ? Hata awe msafi kiasi gani baada ya kazi lazima kusafisha kinywa. Nenda mwambie Dr yaliyokukuta.[emoji23][emoji23]

Nb.hata wanawake mnao shikilia ile kitu mnabugia tu, lazima mkimaliza msukutuwe na oral med, hakikishen msimeze, na malizia kwa kusukutua Maji.
Sauti inatosha ama? Mweeex nyau Nyinyi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...kidding.

Cc. Luckyline
 
Katafute hydrogen peroxide antiseptic mouth wash.
Na kukausha vidonda upate vidonge kumi vya ampicloxacillin meza 1 ×2 kwa siku ndani ya siku tano.
 
Hydrogen peroxide antiseptic mouth wash na vitamin B complex (multivitamin ).
Hydrogen peroxide kma atakua ana bacterial or fungal infections itaua vijidudu na vitamin B complex inaweza kukausha vidonda pia.
Lakin km atakua na upungufu wa vitamins basi B complex itamuongezea Vitamins na kukausha vidonda vyake.
Na hvyo vidonge vya B complex inatakiwa apate 3 tablets ama vidonge 30 ameze 2×3 km tatzo ni la muda mrefu kama kuanzia wiki tatu na kuendelea.
Ila km tatizo ni la muda mfupi yan halina muda mrefu kumuanza mathalan km wiki moja hivi basi vidonge 10 ama tablet 1 itamtosha na ameze 1×2 basi.
 
Kamwe sisi wachezaji wa UVINZA FC hatutatetereka na jiraa lililo mkuta mchezaji mwenzetu

Tutaendelea kukaza na msimamo wetu na kupambana na mechi zilizosalia
 
Ivi na ile harufu tu (nasemea natural smel) mtu unaanzaje kuzama kule...mmmh kweli tunatofautiana
 
Endelea kuzama chumvini usimuogope mtu yeyote yule
 
Inaitwa medi oral sio oral medi
 
Naponaje sasa mr captain
 
Pole kwa maradhi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…