Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,595
- 6,264
[emoji3][emoji3][emoji3] na wewe nikikuomba hujui kukataa?
Kalamba nn??[emoji16][emoji16][emoji16]Eti jamaa yako!! si useme ulichokifanya usaidiwe!! Kila siku mnakatazwa lakini hamsikii.
Ukome [emoji23][emoji23][emoji23]
Lolo
Kumekucha kumekucha 😁Wakuu amkeni mnipe dawa.
Wiki ilopita nilipata kadada kazuri,nikaenda nako lodge ,
Kama kawaida yangu nikazama uvinza.
Saiv ndugu zangu mdomo unababuka uku kwa chini afu unatengeneza kama utando ivi.
Asa sijui ni kwa sabab ya uvinza au tatizo nn.
Naombeni dawa ya kujikwamua na hili tatizo.
NB;NIMEAPA SITAZAMA UVINZA KWA MWINGNE YOYOTE BALI KWA MKE WANGU MPENDWA TU.
asanteni.
Huyu mama kapotelea wapiHiyo ni underline issue rafiki yako afanye medical checkup akienda kinachomsumbua