HAKUNA APANDACHO MTU ASICHOKIVUNA. IKO SIKU HAWA POLISI WATAVUNA!Kaka sema hivi "Huu mshangazi wa visiwani unanitesa sana". Hao mavi wanaokushika ni watoto wa masikini na wenye njaa tu kama wewe tofauti ni akili wao zipo matumboni na wewe zipo kichwani
So sad"Leo naota jua tangu wamenikamata, hawa watu wananitesa sana." Kauli ya Mdude Mpaluka Nyagali baada ya kuachiwa kwa dhamana.
"Walinigonga (kumpiga) mpaka wenyewe wakasema tumemzidishia dozi, wakaanza kuambiana 'atakata moto'." Mdude Mpaluka Nyagali
PIA SOMA
- LGE2024 - Polisi wasema kuna mambo hawakumalizana na Mdude jana kumhoji na kumchunguza, ndio maana wanaendelea kumshikilia
Qmamako,umbwa weweHuyu mdude sijui kwanini hakomi, atakuwa na matatizo ya akili
Hana matatizo yeyote ila kachoshwa na wizi wa chama cha mapinduziHuyu mdude sijui kwanini hakomi, atakuwa na matatizo ya akili
Makosa yake ni yapi?Huyu mdude sijui kwanini hakomi, atakuwa na matatizo ya akili
Tuna mpango wa kumjengea sanamu kwenye lile eneo.HAMZA HAMZA YULE ALIYEFANYA KAZI YA KIZALENDO PALE UBALOZI WA FRANCE ABARIKIWE.