Msanii wa muziki wa Hip hop, Ibrahim Mussa maarufu kama Roma Mkatoliki, amekumbushia kwa uchungu tukio la kutekwa kwake lililotokea mwaka 2017, akieleza namna alivyoishi katika hofu, mateso na hali ya sintofahamu kwa siku kadhaa alipokuwa mikononi mwa watu wasiojulikana.
"Wito wangu ni tukemee...
Wakuu,
Mungu anaendelea Kuwaumbua.
Kwa madai ya huyu mzee ALIFUATWA NA POLISI TANZANIA, MZEE ANAMTAJA POLISI KWA MAJINA YAKE, MZEE ANASEMA,
JUZI JUZI JUZI walimfuata Nyakati za usiku, wakimuahidi malipo ya Pesa anayotaka, iwapo atafanikisha kuwaambia Mdude Nyagali anakaa wapi .
Mzee...
Uharakati wa Bongo ni sawa na kuchungulia kaburi.
Nitumie nafasi hii kutoa pole kwa Wanaharakati wote. Pole kwa Marafiki zake Mwabukusi na Dr. Slaa na Wanachama wote wa JamiiForums wasiokubaliana na Sela za CCM. Matamanio ya kila Mtu ilikuwa kumuona Mdude_Nyagali akishuhudia CCM ikiondolewa...
Mke wa Mdude_Nyagali akilia kwa uchungu muda baada ya Polisi kufika nyumbani kwa Mdude kufanya Uchunguzi. Mtoto aliyebeba ndo mtoto wao.
Polisi wanataka kumtenganisha huyu Dada na mmewe lakini pia wanataka mtoto akue bila malezi ya Baba.
"Kwanini Polisi mko hivi, kwanini Polisi mna roho mbaya...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinalaani kwa nguvu zote tukio la kushambuliwa, kupigwa na kukamatwa kwa mwanaharakati wa haki za binadamu, demokrasia na mwanachama wetu, Mdude Nyagali, usiku wa kuamkia tarehe 2 Mei 2025, nyumbani kwake mkoani Mbeya.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa...
Mwanachama wa JF na mdau mkubwa wa mitandao, Mdude_Nyagali amechukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni polisi usiku huu.
Walikuwa na silaha, wamevunja mlango.
Mdude amepigwa sana, alikuwa amelala nyumbani kwake Mbeya.
Watu hao wamevamia wakiwa na silaha, wakabomoa mlango, wakampiga sana...
"Leo naota jua tangu wamenikamata, hawa watu wananitesa sana." Kauli ya Mdude Mpaluka Nyagali baada ya kuachiwa kwa dhamana.
"Walinigonga (kumpiga) mpaka wenyewe wakasema tumemzidishia dozi, wakaanza kuambiana 'atakata moto'." Mdude Mpaluka Nyagali
PIA SOMA
- LGE2024 - Polisi wasema kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.