Mdude Nyagali kupatikana tena ni 5%. Poleni sana Watanzania

Mdude Nyagali kupatikana tena ni 5%. Poleni sana Watanzania

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Uharakati wa Bongo ni sawa na kuchungulia kaburi.
Screenshot_20250502_211140_Chrome.jpg

Nitumie nafasi hii kutoa pole kwa Wanaharakati wote. Pole kwa Marafiki zake Mwabukusi na Dr. Slaa na Wanachama wote wa JamiiForums wasiokubaliana na Sela za CCM. Matamanio ya kila Mtu ilikuwa kumuona Mdude_Nyagali akishuhudia CCM ikiondolewa Madaraka. Tumemtafuta kila sehemu. Hadi nimekata tamaa, moyo wangu umekua mweusi, Macho mekundu, mdomo umenikauka na njaa hainiumi. Mwili wangu umekufa ganzi. Nimekata tamaa ya kupatikana akiwa hai.

Kavuja damu nyingi, kama haijapatikana wa kumuongezea damu si rahisi kuwa hai. Ila kwa kudra za Mungu kila kitu kinawezekana

Mdude aliamua kufa amesimama kuliko kuishi amepiga Magoti.

Kaacha kitabu ambacho kataja changamoto anazokutana nazo kwenye harakati zake.

Hata hivyo hata hao Polisi hawataishi milele.

Soma Pia: Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi

Kitu mtu unatakiwa umfanyie mtu ni UPENDO. Unamuua Mtu leo kesho nawe unakufa.

Inauma sana Vijana wa Nchi wanaothubutu kuona wanateketea.

Yote yana Mwisho. Mbele yetu Nyuma yake.

A luta continua, vitória é certa'. Mtatuua na Hamtatumaliza. Tayari leo wakina mdude 20 wamezaliwa mahospitalini. Kuna waliojiapiza kukiteketeza Kizazi cha madadiliko, lakini 2021 Watu wamezikwa huko bara wamekiacha. Na wengine watazikwa huko Visiwani watakiacha.

Maneno ya Mwisho ya Mdude CHADEMA.
FB_IMG_1746200634892.jpg

FB_IMG_1746200695666.jpg

Mdude kaacha alama.

Uongozi unafaida gani kama Machozi ya huzuni yanawatoka Wananchi wako na Karo lako la Maji machafu limejaa damu mbichi za Binadamu Unaowaongoza?

Baadhi ya Thread za Mdude ambazo sichoki kuzisoma;

1. Barua ya wazi kwa ndugu, jamaa na watanzania kwa ujumla baada ya kupata vitisho vya kuniteka, kuniuwa na kunipoteza

2. Kidnapping Chain

3. Ni kweli Watekaji hawajulikani?
 
Uharakati wa Bongo ni sawa na kuchungulia kaburi.

Nitumie nafasi hii kutoa pole kwa Wanaharakati wote. Pole kwa Marafiki zake Mwabukusi na Dr. Slaa. Matamanio ya kila Mtu ilikuwa kumuona Mdude akishuhudia CCM ikiondolewa Madaraka.

Mdude aliamua kufa amesimama kuliko kuishi amepiga Magoti.

Kaacha kitabu ambacho kataja changamoto anazokutana nazo kwenye harakati zake.

Hata hivyo hata hao Polisi hawataishi milele.

Kitu mtu unatakiwa umfanyie mtu ni UPENDO. Unamuua Mtu leo kesho nawe unakufa.

Inauma sana Vijana wa Nchi wanaothubutu kuona wanateketea.

Yote yana Mwisho. Mbele yetu Nyuma yake.

A luta continua, vitória é certa'.
Ni kweli. Sidhani kama atapatikana tena hai. Tunachoweza kufanya ni kuchunguza kwa undani na kujua walau watu walio nyuma ya huu unyama. Mkuu wa polisi wa mkoa anahusika na anajua kila kitu.
 
Ni kweli. Sidhani kama atapatikana tena hai. Tunachoweza kufanya ni kuchunguza kwa undani na kujua walau watu walio nyuma ya huu unyama. Mkuu wa polisi wa mkoa anahusika na anajua kila kitu.
Mkuu unaandika nini!? Hujui kuwa vibaraka wa mzanzibar na mzanzibar mwenyewe wameamua kutumaliza watanganyika,amka mkuu,Hali ni mbaya,no one is safe
 
Mmmmh, Mambo yanazidi kuharibika.
 
Uharakati wa Bongo ni sawa na kuchungulia kaburi.

Nitumie nafasi hii kutoa pole kwa Wanaharakati wote. Pole kwa Marafiki zake Mwabukusi na Dr. Slaa na Wanachama wote wa JamiiForums wasiokubaliana na Sela za CCM. Matamanio ya kila Mtu ilikuwa kumuona Mdude_Nyagali akishuhudia CCM ikiondolewa Madaraka. Tumemtafuta kila sehemu. Hadi nimekata tamaa, moyo wangu umekua mweusi, Macho mekundu, mdomo umenikauka na njaa hainiumi. Mwili wangu umekufa ganzi.

Mdude aliamua kufa amesimama kuliko kuishi amepiga Magoti.

Kaacha kitabu ambacho kataja changamoto anazokutana nazo kwenye harakati zake.

Hata hivyo hata hao Polisi hawataishi milele.

Kitu mtu unatakiwa umfanyie mtu ni UPENDO. Unamuua Mtu leo kesho nawe unakufa.

Inauma sana Vijana wa Nchi wanaothubutu kuona wanateketea.

Yote yana Mwisho. Mbele yetu Nyuma yake.

A luta continua, vitória é certa'.
View attachment 3322862
Maneno ya Mwisho ya Mdude CHADEMA.
View attachment 3322864
View attachment 3322865
Mdude kaacha alama.

Uongozi unafaida kama Machozi yanawatoka Wananchi wako na Karo lako la Maji machafu limejaa damu mbichi za watu Unaowaongoza?
Saa100 ni mnyama!
 
Sijui rais Huwa anajisikiaje watu akiwa anawaua kinyama namba hii.yaani unathamini madaraka kuliko utu?Hata polisi unayeua Kwa kuambiwa tu na watawala ni ujinga mkubwa sana.Ipo siku uoga wa watanzania utaisha na kuing'oa vitani kamili na hawataweza kuzuia Tena.Nchi zilizostaraabika huwezi kusikia mtu kauliwa kisa kakosia serikali
 
Back
Top Bottom