Muuaji nambari one ni amiri jeshi mkuuMuuaji namba moja ni mkuu wa jeshi la polisi IGP wambura, maana vitendo hivi vina mbariki sana yeye na wafuasi wake.
KabisaNi kweli. Sidhani kama atapatikana tena hai. Tunachoweza kufanya ni kuchunguza kwa undani na kujua walau watu walio nyuma ya huu unyama. Mkuu wa polisi wa mkoa anahusika na anajua kila kitu.
Wanachangia ujenzi makanisa pia.Hivi wakishaua wanaenda Macca kuhiji?