Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,464
- 12,564
Endelea kuamini ujinga ,wewe ni mwanasiasa lazima utakuwa na matatizo ya akili.Sikujuaga kama huna akili namna hii

Damu zimevuja sana, hadi nkawaza ni amepigwa risasi sehemu gani inayomwaga damu hiviUharakati wa Bongo ni sawa na kuchungulia kaburi.
View attachment 3323068
Nitumie nafasi hii kutoa pole kwa Wanaharakati wote. Pole kwa Marafiki zake Mwabukusi na Dr. Slaa na Wanachama wote wa JamiiForums wasiokubaliana na Sela za CCM. Matamanio ya kila Mtu ilikuwa kumuona Mdude_Nyagali akishuhudia CCM ikiondolewa Madaraka. Tumemtafuta kila sehemu. Hadi nimekata tamaa, moyo wangu umekua mweusi, Macho mekundu, mdomo umenikauka na njaa hainiumi. Mwili wangu umekufa ganzi. Nimekata tamaa ya kupatikana akiwa hai.
View attachment 3322893
Kavuja damu nyingi, kama haijapatikana wa kumuongezea damu si rahisi kuwa hai. Ila kwa kudra za Mungu kila kitu kinawezekana
Mdude aliamua kufa amesimama kuliko kuishi amepiga Magoti.
Kaacha kitabu ambacho kataja changamoto anazokutana nazo kwenye harakati zake.
Hata hivyo hata hao Polisi hawataishi milele.
Soma Pia: Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
Kitu mtu unatakiwa umfanyie mtu ni UPENDO. Unamuua Mtu leo kesho nawe unakufa.
Inauma sana Vijana wa Nchi wanaothubutu kuona wanateketea.
Yote yana Mwisho. Mbele yetu Nyuma yake.
A luta continua, vitória é certa'. Mtatuua na Hamtatumaliza. Tayari leo wakina mdude 20 wamezaliwa mahospitalini. Kuna waliojiapiza kukiteketeza Kizazi cha madadiliko, lakini 2021 Watu wamezikwa huko bara wamekiacha. Na wengine watazikwa huko Visiwani watakiacha.
View attachment 3322862
Maneno ya Mwisho ya Mdude CHADEMA.
View attachment 3322864
View attachment 3322865
Mdude kaacha alama.
Uongozi unafaida gani kama Machozi ya huzuni yanawatoka Wananchi wako na Karo lako la Maji machafu limejaa damu mbichi za Binadamu Unaowaongoza?
Baadhi ya Thread za Mdude ambazo sichoki kuzisoma;
1. Barua ya wazi kwa ndugu, jamaa na watanzania kwa ujumla baada ya kupata vitisho vya kuniteka, kuniuwa na kunipoteza
2. Kidnapping Chain
3. Ni kweli Watekaji hawajulikani?
Tatizo kamdomoUharakati wa Bongo ni sawa na kuchungulia kaburi.

Natamani ccm iondoke madarakani ili hao watu washotakiwe na kihukumiwa kutokana na maovu yaoUharakati wa Bongo ni sawa na kuchungulia kaburi.

Tumeshalia mpaka tukanyamaza.Namtafakari mdude.
Namtafakari Mzee kibao.
Siamini kama haya majaliwa yao yalitokea kwenye ardhi hii ya mwalimu Nyerere juu ya yote siamini kama mdude amenyamaza milele.
Ila kwa mbeya hii itaback fire watu wako kazini.Tumeshalia mpaka tukanyamaza.
Ndio ujue hao wa kukinukisha wa mitandaoni ni fix tu. Hakuna mtu field!Namtafakari mdude.