Mdude Nyagali kupatikana tena ni 5%. Poleni sana Watanzania

IMG-20250502-WA0071.jpg
 
Hakuna atakayeishi Milele, hata wao watakufa pia, ingawa nilikuwa siungi mkono baadhi ya mambo yake, lakini kama binadamu hakusitahili hili, ni ngumu sana kumpata akiwa hai au akiwa mfu, naamini hawa Watekaji hawataruhusu hata Maiti yake kupatikana.
 
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI JESHI LA POLISI TANZANIA

ANZANI

POLISI

Namba ya simu 2502572

Faksi -+255252503734

E-mail:[email protected]

Unapojibu tafadhali taja

Ofisi ya Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Mbeya, S. L. P. 260, MBEYA

02 Mei, 2025

TAARIFA KWA UMMA

JESHI LA POLISI MBEYA LAKANUSHA KUMKAMATA MDUDE

Mnamo Mei 02, 2025 majira ya asubuhi, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya lilipokea taarifa kutoka kwa Sije Mbugi Emmanuel [31] mkazi wa Iwambi ambaye ni mke wa Mpaluka Said Nyagali @ Mdude kuwa mnamo Mei 02, 2025 majira ya saa 08:00 usiku wakiwa wamelala huko Mtaa wa Ivanga, Kata ya Iwambi Jijini Mbeya kuwa watu wasiofahamika waliwavamia baada ya kuvunja mlango na kuingia ndani na kisha kumjeruhi Mpaluka Said Nyagali @ Mdude sehemu mbalimbali za mwili wake.

Aidha, watu hao baada ya tukio hilo walifanikiwa kutoweka na mhanga na kwenda naye kusikojulikana.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linakanusha taarifa zinazosambaa katika mitandao ya kijamii zikidai Askari Polisi kuhusika na tukio hili. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na ufuatiliaji ili kumpata mhanga na kuwabaini waliohusika katika tukio hili kwa hatua zaidi za kisheria.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linatoa wito kwa yeyote mwenye taarifa za mahali alipo Mpaluka Said Nyagali @ Mdude azitoe ili kufanikisha kumpata pamoja na taarifa za watu waliohusika katika tukio hili ili waweze kukamatwa.

Imetolewa na:

Kamanda wa Polisi,

Mkoa wa Mbeya.

www.polisi.go.tz www.twitters.com "tanpol

www.facebook.com PolisiTanzania

www.Instagram.com'polisi.tanzania'

CS Alilaghai na Camsounner
 
Uharakati wa Bongo ni sawa na kuchungulia kaburi.
View attachment 3323068
Nitumie nafasi hii kutoa pole kwa Wanaharakati wote. Pole kwa Marafiki zake Mwabukusi na Dr. Slaa na Wanachama wote wa JamiiForums wasiokubaliana na Sela za CCM. Matamanio ya kila Mtu ilikuwa kumuona Mdude_Nyagali akishuhudia CCM ikiondolewa Madaraka. Tumemtafuta kila sehemu. Hadi nimekata tamaa, moyo wangu umekua mweusi, Macho mekundu, mdomo umenikauka na njaa hainiumi. Mwili wangu umekufa ganzi. Nimekata tamaa ya kupatikana akiwa hai.
View attachment 3322893
Kavuja damu nyingi, kama haijapatikana wa kumuongezea damu si rahisi kuwa hai. Ila kwa kudra za Mungu kila kitu kinawezekana

Mdude aliamua kufa amesimama kuliko kuishi amepiga Magoti.

Kaacha kitabu ambacho kataja changamoto anazokutana nazo kwenye harakati zake.

Hata hivyo hata hao Polisi hawataishi milele.

Soma Pia: Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi

Kitu mtu unatakiwa umfanyie mtu ni UPENDO. Unamuua Mtu leo kesho nawe unakufa.

Inauma sana Vijana wa Nchi wanaothubutu kuona wanateketea.

Yote yana Mwisho. Mbele yetu Nyuma yake.

A luta continua, vitória é certa'. Mtatuua na Hamtatumaliza. Tayari leo wakina mdude 20 wamezaliwa mahospitalini. Kuna waliojiapiza kukiteketeza Kizazi cha madadiliko, lakini 2021 Watu wamezikwa huko bara wamekiacha. Na wengine watazikwa huko Visiwani watakiacha.
View attachment 3322862
Maneno ya Mwisho ya Mdude CHADEMA.
View attachment 3322864
View attachment 3322865
Mdude kaacha alama.

Uongozi unafaida gani kama Machozi ya huzuni yanawatoka Wananchi wako na Karo lako la Maji machafu limejaa damu mbichi za Binadamu Unaowaongoza?

Baadhi ya Thread za Mdude ambazo sichoki kuzisoma;

1. Barua ya wazi kwa ndugu, jamaa na watanzania kwa ujumla baada ya kupata vitisho vya kuniteka, kuniuwa na kunipoteza

2. Kidnapping Chain

3. Ni kweli Watekaji hawajulikani?
Ndio maisha ya Duniani.Kuna wanaharakati wengi sana ila Lugha ya mdude na Maria ni kama wao Wana hati miliki na Haki ya Kila jambo.

Utawala unatunzwa Kwa damu,jasho na machozi ukiona maelfu ya watu wasio na hatia wanakufa huko Gaza Huwa unawaza nini?

Maelfu wanakufa huko Sudan ,DRC unadhani wanapenda?

Ukraine na huko Yemen nk kote damu inamwagika Ili kulinda Utawala.

Sasa utaamua wewe uishi Ukiwa umepiga magoti au ufe Kwa mateso Ukiwa umesimama.

Cha kuelewa ni kwamba Kila mtu atakufa Kwa wakati wake na namna yake.Hii ndio Dunia.

Mwisho hata huko huko kwenye Bible Kuna mfalme aliambiwa asimuache Fulani akaishi ,so ndivyo Utawala unalindwa.
 
Rpc Kuzaga juu ya jambo hili hukwepwi wewe ni msomi lakini umepata urpc umekuwa katili
 
Mungu tuhurumie waja wako. Hatuna lingine la kufanya zaidi ya kubaki nyuma ya keyboard.

Mungu Mtakatifu, Mtakatifu mwenye Enzi, Mtakatifu unayeishi milele, utuhurumie sisi na dunia nzima.
 
Inasikitisha sana, Ila huyu jamaa anapenda sana matusi sijui kwanini anashindwa ku stick kwenye siasa mpaka anze kutukuna matusi. CCM ni washenzi sana
 
Ndio maisha ya Duniani.Kuna wanaharakati wengi sana ila Lugha ya mdude na Maria ni kama wao Wana hati miliki na Haki ya Kila jambo.

Utawala unatunzwa Kwa damu,jasho na machozi ukiona maelfu ya watu wasio na hatia wanakufa huko Gaza Huwa unawaza nini?

Maelfu wanakufa huko Sudan ,DRC unadhani wanapenda?

Ukraine na huko Yemen nk kote damu inamwagika Ili kulinda Utawala.

Sasa utaamua wewe uishi Ukiwa umepiga magoti au ufe Kwa mateso Ukiwa umesimama.

Cha kuelewa ni kwamba Kila mtu atakufa Kwa wakati wake na namna yake.Hii ndio Dunia.

Mwisho hata huko huko kwenye Bible Kuna mfalme aliambiwa asimuache Fulani akaishi ,so ndivyo Utawala unalindwa.
Ndo wauliwe? Au sheria za Nchi hazijitoshelezi. Watawala, Mabosi na viongozi wa kitanzania ukiwakosoa wanasema umetukana. Ukiongea ukweli unauliwa.
 
WAtz sisi ni watu wa ajabu sana, nafikiri Africa nzima - sisi ndo tunaongoza kwa uzombi, Haya na nyie CDM mtu wenu kama mdude anapotea- mnapiga kimya, mtaweza kuusimamisha uchaguzi kweli????Rwanda kumenoga yule Bwana slim wanamkosakosa, Kenya hapo watu wanavibe hatari, Uganda mseveni na ubabe watu hawapoi, Burundi hapo sio poa,DRC kule watu wanakiwasha mashariki sio mchezo, Ethiopia pale zimetoka kuchezwa muda sio mrefu, Hivi sisi ndo serikali yetu ni TAKATIFU...viongozi wetu wanatuangusha sana - mtu mzima anapotea kama upepo tu..
 
Ndo wauliwe? Au sheria za Nchi hazijitoshelezi. Watawala, Mabosi na viongozi wa kitanzania ukiwakosoa wanasema umetukana. Ukiongea ukweli unauliwa.
Inategemea na Lugha unayotumia.Ndio ilibidi unauliwa tuu.

Kama watu wanakatana mapamba Kwa jero,vipande vya Ardhi sembuse kutaka kumharibia mtu madaraka yake?

Someni historia ya duna mtaona,hata hizo dini zenu za Waarabu na Wazungu zimeenezwa Kwa mapanga damu kama zote.

Dini zenu zenyewe hizo msingi wake ni dhuluma na mabavu sembuse Utawala? Eg hao RC Wana tuhuma za kulawiti Watoto lakini waaficha na kuwaficha wahusika ndio hao hao wanawahubiria Mungu daily.

Madaraka yanalindwa Kwa damu,jasho na machozi.
 
Uharakati wa Bongo ni sawa na kuchungulia kaburi.
View attachment 3323068
Nitumie nafasi hii kutoa pole kwa Wanaharakati wote. Pole kwa Marafiki zake Mwabukusi na Dr. Slaa na Wanachama wote wa JamiiForums wasiokubaliana na Sela za CCM. Matamanio ya kila Mtu ilikuwa kumuona Mdude_Nyagali akishuhudia CCM ikiondolewa Madaraka. Tumemtafuta kila sehemu. Hadi nimekata tamaa, moyo wangu umekua mweusi, Macho mekundu, mdomo umenikauka na njaa hainiumi. Mwili wangu umekufa ganzi. Nimekata tamaa ya kupatikana akiwa hai.
View attachment 3322893
Kavuja damu nyingi, kama haijapatikana wa kumuongezea damu si rahisi kuwa hai. Ila kwa kudra za Mungu kila kitu kinawezekana

Mdude aliamua kufa amesimama kuliko kuishi amepiga Magoti.

Kaacha kitabu ambacho kataja changamoto anazokutana nazo kwenye harakati zake.

Hata hivyo hata hao Polisi hawataishi milele.

Soma Pia: Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi

Kitu mtu unatakiwa umfanyie mtu ni UPENDO. Unamuua Mtu leo kesho nawe unakufa.

Inauma sana Vijana wa Nchi wanaothubutu kuona wanateketea.

Yote yana Mwisho. Mbele yetu Nyuma yake.

A luta continua, vitória é certa'. Mtatuua na Hamtatumaliza. Tayari leo wakina mdude 20 wamezaliwa mahospitalini. Kuna waliojiapiza kukiteketeza Kizazi cha madadiliko, lakini 2021 Watu wamezikwa huko bara wamekiacha. Na wengine watazikwa huko Visiwani watakiacha.
View attachment 3322862
Maneno ya Mwisho ya Mdude CHADEMA.
View attachment 3322864
View attachment 3322865
Mdude kaacha alama.

Uongozi unafaida gani kama Machozi ya huzuni yanawatoka Wananchi wako na Karo lako la Maji machafu limejaa damu mbichi za Binadamu Unaowaongoza?

Baadhi ya Thread za Mdude ambazo sichoki kuzisoma;

1. Barua ya wazi kwa ndugu, jamaa na watanzania kwa ujumla baada ya kupata vitisho vya kuniteka, kuniuwa na kunipoteza

2. Kidnapping Chain

3. Ni kweli Watekaji hawajulikani?
Afande Shaban na mwenzake Veda wametajwa kuhusika na hilo tukio
 
Ndio maisha ya Duniani.Kuna wanaharakati wengi sana ila Lugha ya mdude na Maria ni kama wao Wana hati miliki na Haki ya Kila jambo.

Utawala unatunzwa Kwa damu,jasho na machozi ukiona maelfu ya watu wasio na hatia wanakufa huko Gaza Huwa unawaza nini?

Maelfu wanakufa huko Sudan ,DRC unadhani wanapenda?

Ukraine na huko Yemen nk kote damu inamwagika Ili kulinda Utawala.

Sasa utaamua wewe uishi Ukiwa umepiga magoti au ufe Kwa mateso Ukiwa umesimama.

Cha kuelewa ni kwamba Kila mtu atakufa Kwa wakati wake na namna yake.Hii ndio Dunia.

Mwisho hata huko huko kwenye Bible Kuna mfalme aliambiwa asimuache Fulani akaishi ,so ndivyo Utawala unalindwa.
Unatetea ujinga ndugu, hata kama ni U-CCM-kama ambavyo huku mitaani tunaishi bila kujali itikadi za vyama na hata kwenye kutetea uhai tusijali vyama vyetu.
Sema hizi mambo zinamwisho - 2030 sio mbali - CCM kitawaka - 2015 Magufuli aliwaokoa - ngoma iliishakuwa ngumu - kuna watu tu miongoni mwetu wanaona haya mambo but they cant say - wanaogopa - Kuna njemba itaibuliwa from nowhere tu kama Magufuli just wait and see
 
Tanzania ni salama bila Mdude_Nyagali, tulichoka matusi yake. Jitu gani halijifunzi toka wakati wa Magufuli, lenyewe ni mitusi na kukamatwa na kutupwa jela. Wameshampa kila adhabu hadi kumfira na hakomi
hata wewe mwisho wako ni kuoza na kunuka tu
 
Back
Top Bottom