macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Wala sitegemei polisi kuchunguza. Wao ndiyo wahusika.Tatizo wanaopaswa kuchunguza ni watuhumiwa namba moja.

Saa100 ni mnyama!
Kakunwe wewe unaewashwa mkuu..!!Nashauri wana JF tuachane na siasa za matusi, bora kuangalia challenge ya wimbo wa "KUNA" Tiktok
Kabisa kalewa Ila uzuri watu kama Hawa MUNGU ANAONDOAGA MWENYEWE TU.Tatizo Maza kalewa Madaraka anashindwa hata kutambua kuwa hizi nazo ni dhambi zake.
DAMU ILIYOMWAGIKA LAZIMA ITAKUFUATA KOKOTE UTAKAPO KUWAAlikuwa mtaalamu wa matusi
Maadam polisi wamekanusha kuhusika na tukio,basi imeisha hiyo,ila dogo ni domokaya sana yaani,hana staha..pole kwakeUharakati wa Bongo ni sawa na kuchungulia kaburi.
Nitumie nafasi hii kutoa pole kwa Wanaharakati wote. Pole kwa Marafiki zake Mwabukusi na Dr. Slaa na Wanachama wote wa JamiiForums wasiokubaliana na Sela za CCM. Matamanio ya kila Mtu ilikuwa kumuona Mdude_Nyagali akishuhudia CCM ikiondolewa Madaraka. Tumemtafuta kila sehemu. Hadi nimekata tamaa, moyo wangu umekua mweusi, Macho mekundu, mdomo umenikauka na njaa hainiumi. Mwili wangu umekufa ganzi. Nimekata tamaa ya kupatikana akiwa hai.
View attachment 3322893
Kavuja damu nyingi, kama haijapatikana wa kumuongezea damu si rahisi kuwa hai. Ila kwa kudra za Mungu kila kitu kinawezekana
Mdude aliamua kufa amesimama kuliko kuishi amepiga Magoti.
Kaacha kitabu ambacho kataja changamoto anazokutana nazo kwenye harakati zake.
Hata hivyo hata hao Polisi hawataishi milele.
Soma Pia: Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
Kitu mtu unatakiwa umfanyie mtu ni UPENDO. Unamuua Mtu leo kesho nawe unakufa.
Inauma sana Vijana wa Nchi wanaothubutu kuona wanateketea.
Yote yana Mwisho. Mbele yetu Nyuma yake.
A luta continua, vitória é certa'. Mtatuua na Hamtatumaliza. Tayari leo wakina mdude 20 wamezaliwa mahospitalini. Kuna waliojiapiza kukiteketeza Kizazi cha madadiliko, lakini 2021 Watu wamezikwa huko bara wamekiacha. Na wengine watazikwa huko Visiwani watakiacha.
View attachment 3322862
Maneno ya Mwisho ya Mdude CHADEMA.
View attachment 3322864
View attachment 3322865
Mdude kaacha alama.
Uongozi unafaida gani kama Machozi ya huzuni yanawatoka Wananchi wako na Karo lako la Maji machafu limejaa damu mbichi za Binadamu Unaowaongoza?
Baadhi ya Thread za Mdude ambazo sichoki kuzisoma;
1. Barua ya wazi kwa ndugu, jamaa na watanzania kwa ujumla baada ya kupata vitisho vya kuniteka, kuniuwa na kunipoteza
2. Kidnapping Chain
3. Ni kweli Watekaji hawajulikani?
Tuache starehe ya kushangilia mpira, tukamshabikie mtu mporomosha matusi??Matanzania majinga yamekalia simba na Yanga shame on you all. Damu za watu zinamwagika nyie mkiletewa simba na Yanga mnasahau kila kitu.
Shame on you to the moon and back.
Tukiwajua naomba tusiseme tutawafanya nini. Kwanza wanyonge sisi tunaweza kuwafanya chochote kweli. Miili yao chuma ukibonyeza haibonyei.Ni kweli. Sidhani kama atapatikana tena hai. Tunachoweza kufanya ni kuchunguza kwa undani na kujua walau watu walio nyuma ya huu unyama. Mkuu wa polisi wa mkoa anahusika na anajua kila kitu.
Usitutukane wewe fala. Chukua tahadhari ya peke yako na familia yako....kwani lazima sote tuwe wanasiasa....kwa Hali ilivyo Nani atatubuthu kutoa pua nje.... mwenyewe hapo unatuchamba ukiwa shimoni. BladifakeniMatanzania majinga yamekalia simba na Yanga shame on you all. Damu za watu zinamwagika nyie mkiletewa simba na Yanga mnasahau kila kitu.
Shame on you to the moon and back.
Uharakati wa Bongo ni sawa na kuchungulia kaburi.
View attachment 3323068