Mdude alia kwa uchungu asema "Hawa watu wananitesa sana"

"Leo naota jua tangu wamenikamata, hawa watu wananitesa sana." Kauli ya Mdude Mpaluka Nyagali baada ya kuachiwa kwa dhamana.

"Walinigonga (kumpiga) mpaka wenyewe wakasema tumemzidishia dozi, wakaanza kuambiana 'atakata moto'." Mdude Mpaluka Nyagali

PIA SOMA
- LGE2024 - Polisi wasema kuna mambo hawakumalizana na Mdude jana kumhoji na kumchunguza, ndio maana wanaendelea kumshikilia
Jiokoe wewe si ndio masiah walisikika wayahudi,unalia nini nawe ulikuwa kila siku unasema huwaogopi unawasubiri huko makongorosi!
 
Huyu Mdude aachane na mpango wake huu wa kuawapigania watanzania ambao kimsingi bado wamelala.

Usikute wamemwingilia kinyume na maumbile ndiyo maana analia.
Me namshangaa sana kwa kweli yaani anahatarisha uhai wake kwa wajinga hawa waliojaa nchii ambao kimsingi hawana kaz yoyote ya maana zaid ya kushabikia mipira na mambo ambayo hayana maana
 
Huwezi sikia mtoto wa Mbowe, Lema, Mrema, Mnyika na vigogo wengine wa CHADEMA wakifanya harakati za kijinga kama Mdude. Laana ya kutomshauri vizuri Mdude itawatafuna Mbowe na genge lake. Mdude hana mwongozo wowote ndo maana anajikuta kwenye matatizo kila mara.
 
Ndo aache kutukana watu hovyo mtandaoni
 
Huyu mdude sijui kwanini hakomi, atakuwa na matatizo ya akili
Penye wengi hapakosi kuwa na mengi. Ni msemo wa hekima.
Usitegemee kuongoza binadamu kuwe Sawa na kuongoza wanyama.
Muhimu kama mtu anatuhuma ashitakiwe mahakamani na hukumu ya haki itolewe.
Kumtesa mtu ni kinyume na sheria.
Kumtesa binadamu ni kinyume na haki za binadamu.
Na mambo hayo yakizidi yanaweza kuleta visasi vibaya kama alivyofanya Hamza is ale Salenda bridge.
Tujitafakali tufanye sheria na haki.
 
Hilo chizi huwa sielewi linapigania haki gani
 
Aache jeuri na kuhatarisha amani ya nchi.yaani watu tuharibu amani ya nchi kwa upumbavu wake
 
"Leo naota jua tangu wamenikamata, hawa watu wananitesa sana." Kauli ya Mdude Mpaluka Nyagali baada ya kuachiwa kwa dhamana.

"Walinigonga (kumpiga) mpaka wenyewe wakasema tumemzidishia dozi, wakaanza kuambiana 'atakata moto'." Mdude Mpaluka Nyagali

PIA SOMA
- LGE2024 - Polisi wasema kuna mambo hawakumalizana na Mdude jana kumhoji na kumchunguza, ndio maana wanaendelea kumshikilia
Ndio maana kuna watu wanapata ajali sababu ya kuonea watu, km hujaelewa pita hv
 
Huyu mdude sijui kwanini hakomi, atakuwa na matatizo ya akili
Akome nini? Nawe ni sehemu ya wanaopenda kufurahia kutesa na kuua mkiamini hii nchi ni yenu na chama chenu, kama si siasa Mdude ameiba nini na ameficha wapi kisionekane miaka yote?
 
Aache jeuri na kuhatarisha amani ya nchi.yaani watu tuharibu amani ya nchi kwa upumbavu wake
Wapi alipoharibu amani! Mtu mmoja unawezaje kuharibu amani peke yako, wenye madaraka mnalinda madaraka yenu kwa kutesa na kuua watu.
 
Vijana wengi tuige ujasiri wa MDUDE, wakiwa wengi vuguvugu la vijana kudai haki litaamka na kuachana na kushangilia Simba na Yanga.
 
"Leo naota jua tangu wamenikamata, hawa watu wananitesa sana." Kauli ya Mdude Mpaluka Nyagali baada ya kuachiwa kwa dhamana.

"Walinigonga (kumpiga) mpaka wenyewe wakasema tumemzidishia dozi, wakaanza kuambiana 'atakata moto'." Mdude Mpaluka Nyagali

PIA SOMA
- LGE2024 - Polisi wasema kuna mambo hawakumalizana na Mdude jana kumhoji na kumchunguza, ndio maana wanaendelea kumshikilia
Huyu jamaa aangaliwe kwa umakini itakua police kuna kitu nae
 
Hana matatizo yeyote ila kachoshwa na wizi wa chama cha mapinduzi
Huyo ndyo mwanaharakati siyo wanaharakati nyinyi mnajificha jf sasa nani atawaona hata wakina Jomo kenyatta wakati wanafanya harakati zao walikuwa hawajifichi mnanishangaza wanaharakati wa mchongo jitokezeni hadharani kama Fidel castro
 
"Leo naota jua tangu wamenikamata, hawa watu wananitesa sana." Kauli ya Mdude Mpaluka Nyagali baada ya kuachiwa kwa dhamana.

"Walinigonga (kumpiga) mpaka wenyewe wakasema tumemzidishia dozi, wakaanza kuambiana 'atakata moto'." Mdude Mpaluka Nyagali

PIA SOMA
- LGE2024 - Polisi wasema kuna mambo hawakumalizana na Mdude jana kumhoji na kumchunguza, ndio maana wanaendelea kumshikilia
Chadema wanamponza aisee,ajitafakari.
 
Me namshangaa sana kwa kweli yaani anahatarisha uhai wake kwa wajinga hawa waliojaa nchii ambao kimsingi hawana kaz yoyote ya maana zaid ya kushabikia mipira na mambo ambayo hayana maana
Chadema na project ya kupiga hela na si kwa ajili ya kuwapigania watanzania
 
Back
Top Bottom