Na kibaya zaidi hata matusi anayoporomosha kwenye mitandao hawa jamaa wanakuwa wamemtumia.Hapa ndio laana lazima iwatafune.Huwezi sikia mtoto wa Mbowe, Lema, Mrema, Mnyika na vigogo wengine wa CHADEMA wakifanya harakati za kijinga kama Mdude. Laana ya kutomshauri vizuri Mdude itawatafuna Mbowe na genge lake. Mdude hana mwongozo wowote ndo maana anajikuta kwenye matatizo kila mara.