Na kibaya zaidi hata matusi anayoporomosha kwenye mitandao hawa jamaa wanakuwa wamemtumia.Hapa ndio laana lazima iwatafune.Huwezi sikia mtoto wa Mbowe, Lema, Mrema, Mnyika na vigogo wengine wa CHADEMA wakifanya harakati za kijinga kama Mdude. Laana ya kutomshauri vizuri Mdude itawatafuna Mbowe na genge lake. Mdude hana mwongozo wowote ndo maana anajikuta kwenye matatizo kila mara.
Wewe utakuwa JINI si binadamu. Kufurahia mateso ya wenzako wanaopingana na utekaji na mauaji na ufisadi na tamaa ya madaraka wewe wa ajabuajabu haijapata kutokea.Kamanda analia mbele ya kamera!
Ndo ajue kushindana na State sio kazi rahisi, akaze kishundu kama ameamua kuwa mpambanaji.
Haya ndo anasikitika washamgonga sasa (ishachapwa)
Mdude anastahili zaidi ya anachopitia kwa sasa .Jitu zima linatumiwa na akina Lema kwa faida zao za KISIASA tu ,Mdude jiongeze.Wewe utakuwa JINI si binadamu. Kufurahia mateso ya wenzako wanaopingana na utekaji na mauaji na ufisadi na tamaa ya madaraka wewe wa ajabuajabu haijapata kutokea.
Wewe CHAWA unatumiwa na nani? Aibu kwao, MDUDE anapingana na watekaji, mafisadi na wenye tamaa ya madaraka.Mdude anastahili zaidi ya anachopitia kwa sasa .Jitu zima linatumiwa na akina Lema kwa faida zao za KISIASA tu ,Mdude jiongeze.
Ndio umetaja makosa yake hapo?Mdomo wake hauna break na hakuna namna lazima afunzwe na ulimwengu
Acha hizo ,huyu chizi hajaanza leo kutukana viongozi na anatumwa na waogaWewe CHAWA unatumiwa na nani? Aibu kwao, MDUDE anapingana na watekaji, mafisadi na wenye tamaa ya madaraka.
Muulize mzee Mbowe na Lema ambao ndio wanaomtumaNdio umetaja makosa yake hapo?