LGE2024 Mdude amburuza kortini RPC Songwe, Mwabukusi kumuwakilisha katika kesi hiyo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mwanaharakati na Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amefungua shauri chini ya hati ya dharura katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Mbeya, akipinga kushikiliwa kwa Mdude Nyagali na Jeshi la Polisi.

Pia, Soma: Makosa Matatu ya Mdude Nyagali: Kujeruhi, Matusi na Kuvuruga Uchaguzi, Wakili Boniface Mwabukusi kumtetea

Shauri hilo, linalohusu madai ya kushikiliwa bila msingi wa kisheria, linatarajiwa kusikilizwa kesho, Novemba 26, 2024. Mwabukusi ameeleza kuwa hatua hiyo inalenga kuhakikisha haki ya Nyagali inalindwa kwa mujibu wa sheria za nchi.

 
Hivi huu ujinga jeshi la polisi na CCM wataendelea kuufanya mpaka lini?
 
Mdude Mpaluke Nyagali.
 
Mwabukusi anapoteza muda. Mdude kakumbuka bwana yake Nyapala, katafuta kila sababu mpaka amfuate gerezani.
 
RPC wa Songwe afukuzwe kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…