LGE2024 Mdude amburuza kortini RPC Songwe, Mwabukusi kumuwakilisha katika kesi hiyo

LGE2024 Mdude amburuza kortini RPC Songwe, Mwabukusi kumuwakilisha katika kesi hiyo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wadau mwenye namba ya Wakili na rais wa TLS ani PM nina kesi yangu anisaidie
 
Mwanaharakati na Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amefungua shauri chini ya hati ya dharura katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Mbeya, akipinga kushikiliwa kwa Mdude Nyagali na Jeshi la Polisi.

Pia, Soma: Makosa Matatu ya Mdude Nyagali: Kujeruhi, Matusi na Kuvuruga Uchaguzi, Wakili Boniface Mwabukusi kumtetea

Shauri hilo, linalohusu madai ya kushikiliwa bila msingi wa kisheria, linatarajiwa kusikilizwa kesho, Novemba 26, 2024. Mwabukusi ameeleza kuwa hatua hiyo inalenga kuhakikisha haki ya Nyagali inalindwa kwa mujibu wa sheria za nchi.
Hv hakuna uwezekano wa kumfungulia kesi personal ili wapate personal effect, wapate kujifunza kuwa kun wakati madhara wanayoyafanya wanawaathiri personally. watapata pa kujifunza!!
 
Mwabukusi anapoteza muda. Mdude kakumbuka bwana yake Nyapala, katafuta kila sababu mpaka amfuate gerezani.
Tulia we choko, wkt wa jiwe ulikuwa unalialia humu safari shangazi yako kapewa cheo na saa mbovu muda wote ni shombo za kusifia tu mavi ya kijani.
 
Back
Top Bottom