LGE2024 Mdude amburuza kortini RPC Songwe, Mwabukusi kumuwakilisha katika kesi hiyo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mwanaharakati na Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amefungua shauri chini ya hati ya dharura katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Mbeya, akipinga kushikiliwa kwa Mdude Nyagali na Jeshi la Polisi.

Pia, Soma: Makosa Matatu ya Mdude Nyagali: Kujeruhi, Matusi na Kuvuruga Uchaguzi, Wakili Boniface Mwabukusi kumtetea

Shauri hilo, linalohusu madai ya kushikiliwa bila msingi wa kisheria, linatarajiwa kusikilizwa kesho, Novemba 26, 2024. Mwabukusi ameeleza kuwa hatua hiyo inalenga kuhakikisha haki ya Nyagali

Mdude Mpaluke Nyagali.
Hili jina la Mdude kwa huku kwetu linamaanisha kitu kisichoeleweka, kinachotisha, kinachotia kichefchefu, yaan ni dude tuuu lililokaa kama kutu ya mavi ya tembo!🤪🤪🤪🤪
 
KADA maarufu wa Chama cha Demokerasia na Maendeleo (Chadema) Mdude Mpaluka Nyagali amemburuza kartini Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe kwa kumshikilia kinyume cha sheria.

Katika Shauri hilo Namba 33247 la mwaka 2024 lililofunguliwa kwa hati ya
dharula Mdude atawakilishwa na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, Wakili Boniface Mwabukusi litaitishwa kesho tarehe 26 Novemba saa 3:00 asubuhi katika Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya mbele ya Jaji Musa Pomo.

"Kutokana na Dana Dana zisizo isha tumefungua Shauri chini ya Hati ya dharula katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ya Mbeya.Shauri linakuja kusikilizwa siku ya Kesho tarehe 26 Nov.2024" Boniphace Mwabukusi Rais wa TLS
Soma pia: Makosa Matatu ya Mdude Nyagali: Kujeruhi, Matusi na Kuvuruga Uchaguzi, Wakili Boniface Mwabukusi kumtetea

20241126_062414.jpg

20241126_063335.jpg

Chanzo: Mwanahalisi
 
Mwanaharakati na Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amefungua shauri chini ya hati ya dharura katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Mbeya, akipinga kushikiliwa kwa Mdude Nyagali na Jeshi la Polisi.

Pia, Soma: Makosa Matatu ya Mdude Nyagali: Kujeruhi, Matusi na Kuvuruga Uchaguzi, Wakili Boniface Mwabukusi kumtetea

Shauri hilo, linalohusu madai ya kushikiliwa bila msingi wa kisheria, linatarajiwa kusikilizwa kesho, Novemba 26, 2024. Mwabukusi ameeleza kuwa hatua hiyo inalenga kuhakikisha haki ya Nyagali inalindwa kwa mujibu wa sheria za nchi.

Kwa ufahamu wangu mdogo wa sheria, najiuliza kila wakati kutokana na hii michezo ya wenye mamlaka kuonea watu kinyume cha sheria inavyotokea mara kwa mara, kwa nini hawa wanasheria wetu hawafungulii individuals hizi kesi?. Ukimfungulia kwa cheo huoni kwamba unampa tu nafasi ingine ya kukusumbua na ukafeli tu, huwa nafikiri wanacheka tu wakiona charge na petition za namna hii! Mshtaki kwa jina lake ili aje mahakamani bila magwanda anayojidai nayo na visoda vyake mabegani

Ushauri kutoka kwa wanasheria cc Pascal Mayalla
 
Mwanaharakati na Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amefungua shauri chini ya hati ya dharura katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Mbeya, akipinga kushikiliwa kwa Mdude Nyagali na Jeshi la Polisi.

Hiki kipande kinakinzana na title ya uzi na hicho kiambatanisho ulichotuwekea...
 
Mwanaharakati na Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amefungua shauri chini ya hati ya dharura katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Mbeya, akipinga kushikiliwa kwa Mdude Nyagali na Jeshi la Polisi.

Pia, Soma: Makosa Matatu ya Mdude Nyagali: Kujeruhi, Matusi na Kuvuruga Uchaguzi, Wakili Boniface Mwabukusi kumtetea

Shauri hilo, linalohusu madai ya kushikiliwa bila msingi wa kisheria, linatarajiwa kusikilizwa kesho, Novemba 26, 2024. Mwabukusi ameeleza kuwa hatua hiyo inalenga kuhakikisha haki ya Nyagali inalindwa kwa mujibu wa sheria za nchi.
Safi sana.
 
Ubaya wa hizi mahakama za CCM, hata hiyo hati ya dharura haitatendewa haki. Watatafuta namna ya kumfanya asote tu rumande sijui kwa faida gani. Nchi imeoza sana hii
 
Back
Top Bottom