Hakuna Mnyiha anaitwa Nyagali. Hayo makaburi aliyokuonyesha siyo ya ukoo wake.Huyo ni Mnyiha, babu zake wamezikwa Ihanda.
Jadili hoja zingine, hiyo ya uraia haina mashiko.
Tujadili ni kwa nini jamaa anajiamini sana na haogopi chochote, wewe unadhani ni kwa nini?
Mwanaharakati na Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amefungua shauri chini ya hati ya dharura katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Mbeya, akipinga kushikiliwa kwa Mdude Nyagali na Jeshi la Polisi.
Pia, Soma: Makosa Matatu ya Mdude Nyagali: Kujeruhi, Matusi na Kuvuruga Uchaguzi, Wakili Boniface Mwabukusi kumtetea
Shauri hilo, linalohusu madai ya kushikiliwa bila msingi wa kisheria, linatarajiwa kusikilizwa kesho, Novemba 26, 2024. Mwabukusi ameeleza kuwa hatua hiyo inalenga kuhakikisha haki ya Nyagali
Hili jina la Mdude kwa huku kwetu linamaanisha kitu kisichoeleweka, kinachotisha, kinachotia kichefchefu, yaan ni dude tuuu lililokaa kama kutu ya mavi ya tembo!🤪🤪🤪🤪Mdude Mpaluke Nyagali.
Mpaka wawamalizeHivi huu ujinga jeshi la polisi na CCM wataendelea kuufanya mpaka lini?
Mtaambiwa ana kinga.Sasa sijui ni kinga ya nini?hatua nzuri, lakini kwa mahakama zipi? za Juma? Sahau kabisa haki kutendeka...... Hakuna jaji wa kusimamia haki! Ujai wa fadhila, hakuna mwenye ubavu wa kusimamia haki.
Nitakuwepo saa 3 Kotini!
Rpcs hawana kinga, ile kinga iliwekwa kwa viongozi na idara nyetiMtaambiwa ana kinga.Sasa sijui ni kinga ya nini?
Hivi unajua wasanii kweli?Bonafide claim of right?Utaambiwa hakuwa na nia mbaya wakati wa utekelezaji wa majukumu.Had no evil intentions ....!Rpcs hawana kinga, ile kinga iliwekwa kwa viongozi na idara nyeti
Mwanaharakati na Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amefungua shauri chini ya hati ya dharura katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Mbeya, akipinga kushikiliwa kwa Mdude Nyagali na Jeshi la Polisi.
Pia, Soma: Makosa Matatu ya Mdude Nyagali: Kujeruhi, Matusi na Kuvuruga Uchaguzi, Wakili Boniface Mwabukusi kumtetea
Shauri hilo, linalohusu madai ya kushikiliwa bila msingi wa kisheria, linatarajiwa kusikilizwa kesho, Novemba 26, 2024. Mwabukusi ameeleza kuwa hatua hiyo inalenga kuhakikisha haki ya Nyagali inalindwa kwa mujibu wa sheria za nchi.
Hiyo ni big if, yes i know mifumo ya haki nchi hii ni so fuked up when comes to politician na vyombo vya usalama,Hivi unajua wasanii kweli?Bonafide claim of right?Utaambiwa hakuwa na nia mbaya wakati wa utekelezaji wa majukumu.Had no evil intentions ....!
Mwanaharakati na Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amefungua shauri chini ya hati ya dharura katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Mbeya, akipinga kushikiliwa kwa Mdude Nyagali na Jeshi la Polisi.
Safi sana.Mwanaharakati na Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amefungua shauri chini ya hati ya dharura katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Mbeya, akipinga kushikiliwa kwa Mdude Nyagali na Jeshi la Polisi.
Pia, Soma: Makosa Matatu ya Mdude Nyagali: Kujeruhi, Matusi na Kuvuruga Uchaguzi, Wakili Boniface Mwabukusi kumtetea
Shauri hilo, linalohusu madai ya kushikiliwa bila msingi wa kisheria, linatarajiwa kusikilizwa kesho, Novemba 26, 2024. Mwabukusi ameeleza kuwa hatua hiyo inalenga kuhakikisha haki ya Nyagali inalindwa kwa mujibu wa sheria za nchi.
Inasikitisha kwa kweli.Hivi huu ujinga jeshi la polisi na CCM wataendelea kuufanya mpaka lini?
Ubaya wa hizi mahakama za CCM, hata hiyo hati ya dharura haitatendewa haki. Watatafuta namna ya kumfanya asote tu rumande sijui kwa faida gani. Nchi imeoza sana hiiMwanaharakati na Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amefungua shauri chini ya hati ya dharura katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Mbeya, akipinga kushikiliwa kwa Mdude Nyagali na Jeshi la Polisi.