Mdude Chade amkosoa Rais Samia, aseme nchi haiko salama kama Rais Samia alivyowapongeza PolisiTz

Mdude Chade amkosoa Rais Samia, aseme nchi haiko salama kama Rais Samia alivyowapongeza PolisiTz

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
1000026662.jpg
 
Sumu ya Nyigu hakwepeshi kitu black and white....watu wanatekwa ,majizi yanaiibia serikali as if hatuna secret service wa kuyafichua hayo mambo ,mikodi daily inaongezeka how come usema nchi ipo salama? Hata congo kwenye vita kuna sehemu shughuli zinaendelea fresh tu...Maana Mulilo anasema kama nchi haiko salama basi hata kikeke asingefika ofisini kwake kumuhoji maana angeporwa kamera.
 
Ukweli mchungu, ila machawa yatasema Mama ametukanwa🤣🤣
 
Hivi CDM imekosa kabisa watu wakufanya nao kazi.
 
Back
Top Bottom