Sumu ya Nyigu hakwepeshi kitu black and white....watu wanatekwa ,majizi yanaiibia serikali as if hatuna secret service wa kuyafichua hayo mambo ,mikodi daily inaongezeka how come usema nchi ipo salama? Hata congo kwenye vita kuna sehemu shughuli zinaendelea fresh tu...Maana Mulilo anasema kama nchi haiko salama basi hata kikeke asingefika ofisini kwake kumuhoji maana angeporwa kamera.