Mdude Chadema: Familia masikini ndio zinaumia kwa tozo za serikali ya Rais Samia

Mdude Chadema: Familia masikini ndio zinaumia kwa tozo za serikali ya Rais Samia

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Screenshot_20220922-222051.jpg
 
Hili linanikumbusha habari ya mtakatifu Matayo, aka mtoza ushuru aliekuwa akilamba asali wayback kabla ya Yesu kutia maguu 😂😂😂
 
Hilo ni kwa wazazi wake na si serikali
 
Huyu jamaa walichomfanyia kinamuumiza sana, mwenzie Mkatoliki alikimbia hata mke kabisa. Wasiojilikana hawakuwa watu wazuri kabisa
 
Huyu naye anajiandikiaga tu kwa kuwa anajuwa wapo wenye akili Kama zake watakaomuunga mkono kwa mihemuko Kama yake, Kwani hapo wapi pameandikwa huyo mtoto yupo kwenye kibarua? Kwani hajawahi kuona watoto wakiwa wanacheza michezo yao kwa kudimba wakibeba na kuigiza kujenga vinyumba? Yaani anakwenda anampiga picha mtoto wa watu halafu anarusha Mitandaoni ili ajipatie masifa ya kijinga, hao ndio vijana wa chadema walivyofundishwa ulaghai na uongo uongo na upotoshaji ili wapandikize chuki, lakini watanzania wameshawafahamu akili zao ndio sababu kwa Sasa wamewapuuza
 
Mbona chadema mnajisifu kuwa kishindo cha kamati kuu kimesababisha serikali kufuta tozo? Uzi uko humuhumu na Pambalu aka erythrocyte ndo kauleta?
 
Back
Top Bottom