Huyu naye anajiandikiaga tu kwa kuwa anajuwa wapo wenye akili Kama zake watakaomuunga mkono kwa mihemuko Kama yake, Kwani hapo wapi pameandikwa huyo mtoto yupo kwenye kibarua? Kwani hajawahi kuona watoto wakiwa wanacheza michezo yao kwa kudimba wakibeba na kuigiza kujenga vinyumba? Yaani anakwenda anampiga picha mtoto wa watu halafu anarusha Mitandaoni ili ajipatie masifa ya kijinga, hao ndio vijana wa chadema walivyofundishwa ulaghai na uongo uongo na upotoshaji ili wapandikize chuki, lakini watanzania wameshawafahamu akili zao ndio sababu kwa Sasa wamewapuuza