Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Kada wa CHADEMA, Mdude Nyagali kwenye video fupi inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii amedokeza kuwa hotuba aliyoitoa jana Rais Samia ni hotuba mbovu zaidi kuwahi kutokea Tanzania.
Siku ya jana Rais Samia wakati anahutubia kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi alitoa hotuba iliyoleta hisia mseto kwa wananchi kutokana na baadhi ya hoja alizoziibua kwenye hotuba hiyo.
Mdude amedokeza kuwa katika Marais wote waliowahi kutokea Tanzania, siku ya jana Rais Samia alitoa hotuba mbaya zaidi kuwazidi wote
Soma Pia: Rais Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo