Mdude Chadema: Hotuba ya Rais Samia jana ni hotuba mbovu zaidi kuwahi kutokea Tanzania

Mdude Chadema: Hotuba ya Rais Samia jana ni hotuba mbovu zaidi kuwahi kutokea Tanzania

Watanzania sijui kwa mmekuwa na akili ndogo hivi, hapo karibu tu Kenya 🇰🇪Rais anamosolewa achilia mbali Ughaibuni.
Sisi siyo wakenya,kenya ni zizi la ng'ombe na mbuzi,siyo watu wale, huwezi anzisha movement ya kumng'oa rais halafu utazamwe tu..eti samia must go!!
 
90% ya waTanzania hawajui hata kama Nchimbi wala Samia walitoa hotuba wiki hii

Ni kweli, 90% ya watu hawajui Nchimbi kasema nini wala Samia kasema nini kwenye hotuba.

LAKINI SASA, watu wanao influence mwelekeo wa maisha ya kila mtu ya kila siku ya nchi hii ni hao inforned and reacting 10%, pamoja na viongozi wa nchi hii. Viongozi wana dili na issues ( kuzitatua au kuzizima kwa kuteka na kuchinja) zinazokuwa raised na hao 10%. Iwe kwenye mitandao, kwenye matamko, kwenye ma clip, kwenye majukwaa.

Hata spichi ya Samia jana ilikuwa inawalenga hao 10%. Rais Samia ametaja clip kama tano hivi kaziona zilizo trend within the last 10 days. The critical 10% ndio tuna influence japo kiasi kwenye trajectory ya nchi hii.
 
Kada wa CHADEMA, Mdude Nyagali kwenye video fupi inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii amedokeza kuwa hotuba aliyoitoa jana Rais Samia ni hotuba mbovu zaidi kuwahi kutokea Tanzania.

Siku ya jana Rais Samia wakati anahutubia kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi alitoa hotuba iliyoleta hisia mseto kwa wananchi kutokana na baadhi ya hoja alizoziibua kwenye hotuba hiyo.

Mdude amedokeza kuwa katika Marais wote waliowahi kutokea Tanzania, siku ya jana Rais Samia alitoa hotuba mbaya zaidi kuwazidi wote

Soma Pia: Rais Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo

View attachment 3099483
Afya akili
 
Rais hajui kama watu wengi wametekwa na kuuawa kwasabb muda mwingi anautumia kwenye dressing table kufunga shungi.
 
Duh

Mdude analazimisha kutiwa Mbaroni
Duniani watu wenye fikra tofauti lazimawawepo huwezi kuzuia hata huko nje wapo, Gaddafi aliwatendea watu wake mema wakamkataa wengine,Yuda aliona matendo mema ya Yesu Akamsaliti;. Hivyo tuendelee kuvumiliana.
 
Back
Top Bottom