imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Ole Sabaya hakuwa na ugumu wowote bali alikuwa ni Tool ya kuumizia Watu.Shujaa aliwapenda Watu wagumu kama Mdude na Ole Sabaya 😂😂
Usiwafananishe Mdude na Sabaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ole Sabaya hakuwa na ugumu wowote bali alikuwa ni Tool ya kuumizia Watu.Shujaa aliwapenda Watu wagumu kama Mdude na Ole Sabaya 😂😂
Wanafanana sanaOle Sabaya hakuwa na ugumu wowote bali alikuwa ni Tool ya kuumizia Watu.
Usiwafananishe Mdude na Sabaya.
Hata fatma Karume hajaifurahia!Amewachana live nyie vibaraka na waliowatuma.
Mwisho sio kazi ya Rais kutoa hotuba ya kufurahisha wahuni
Wapenda haki hatuogopi vibano.tutampeleka iccWe jiongeleshe tu,kibano kinakuja
Kuna la uwongo alilosema ?Duh
Mdude analazimisha kutiwa Mbaroni
Tukisema ccm inatumia ujinga na umaskini wa watanzania tutakuwa tunakosea?90% ya waTanzania hawajui hata kama Nchimbi wala Samia walitoa hotuba wiki hii
Tatizo la Afya ya akili halipimwi maabara, kutokuwa na uwezo wa kufikiria sawasawa kutokana na sababu Fulani Fulani tunajua uko na shidaUmempima?
Fatma Karume ni nani kwako?Hata fatma Karume hajaifurahia!
Mwanasheria Mzanzibari na mtoto wa Rais mstaafu.Fatma Karume ni nani kwako?
Au sio?Naungana na mdude kuwa tuna rais wa hovyo sana.rais anafurahia mauaji ya wananchi huyo hafai kabisa kuendelea kutuongoza.anatakiwaaondolewe Kwa nguvu zote ikiwezekana hata Kwa kumwaga damu
Sabaya ni Mhalifu, Mdude ni sauti ya wasio na sauti.Wanafanana sana
Watu wana mambo mengi yanayoendelea maishani mwao,kuanza kusikiliza hotuba za wanasiasa katikati ya wiki,nani ana muda huo?Tukisema ccm inatumia ujinga na umaskini wa watanzania tutakuwa tunakosea?
Kati ya Mbowe na Sabaya Kwa mfano Mbowe Ndiye Mahakama imemkuta ana Kesi ya UgaidiSabaya ni Mhalifu, Mdude ni sauti ya wasio na sauti.
Sabaya ni "Tool" ya ukandamizaji.Ole Sabaya Mahakama kuu na ile ya Rufaa zote zimemsafisha kuwa hana hatia yoyote ya uhalifu ndio sababu soon atakuwa RC DSM 😂😂😂
Uko sawa. Hii Tanzania Nchi ya amani imetulemaza sana Wakati hata hiyo amani inayosemwa haipo na hatuna!!Naungana na mdude kuwa tuna rais wa hovyo sana.rais anafurahia mauaji ya wananchi huyo hafai kabisa kuendelea kutuongoza.anatakiwaaondolewe Kwa nguvu zote ikiwezekana hata Kwa kumwaga damu
👆🐸 kama akimwaga Damu 23September.
Hakika Mungu ameamua ugovi, nyakati zile huyu jamaa nahic hi sauti ingekua ya mwisho.Kada wa CHADEMA, Mdude Nyagali kwenye video fupi inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii amedokeza kuwa hotuba aliyoitoa jana Rais Samia ni hotuba mbovu zaidi kuwahi kutokea Tanzania.
Siku ya jana Rais Samia wakati anahutubia kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi alitoa hotuba iliyoleta hisia mseto kwa wananchi kutokana na baadhi ya hoja alizoziibua kwenye hotuba hiyo.
Mdude amedokeza kuwa katika Marais wote waliowahi kutokea Tanzania, siku ya jana Rais Samia alitoa hotuba mbaya zaidi kuwazidi wote
Soma Pia: Rais Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo
View attachment 3099483
Kada wa CHADEMA, Mdude Nyagali kwenye video fupi inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii amedokeza kuwa hotuba aliyoitoa jana Rais Samia ni hotuba mbovu zaidi kuwahi kutokea Tanzania.