Mdude Chadema: Hotuba ya Rais Samia jana ni hotuba mbovu zaidi kuwahi kutokea Tanzania

Sabaya ni Mhalifu, Mdude ni sauti ya wasio na sauti.
Kati ya Mbowe na Sabaya Kwa mfano Mbowe Ndiye Mahakama imemkuta ana Kesi ya Ugaidi

Ole Sabaya Mahakama kuu na ile ya Rufaa zote zimemsafisha kuwa hana hatia yoyote ya uhalifu ndio sababu soon atakuwa RC DSM πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Naungana na mdude kuwa tuna rais wa hovyo sana.rais anafurahia mauaji ya wananchi huyo hafai kabisa kuendelea kutuongoza.anatakiwaaondolewe Kwa nguvu zote ikiwezekana hata Kwa kumwaga damu
Uko sawa. Hii Tanzania Nchi ya amani imetulemaza sana Wakati hata hiyo amani inayosemwa haipo na hatuna!!
 
Hakika Mungu ameamua ugovi, nyakati zile huyu jamaa nahic hi sauti ingekua ya mwisho.
 
Zilikuwa ni jazba hata sio hotuba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…