Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
---
Nilipotekwa 2019 polisi walikataa kutoa PF3,lakini haikuzuia madaktari wa hospital ya kanda Mbeya kunihudumia tena kwa emergency kulingana na hali mbaya niliyokuwa nayo mpaka nikapona.
Binafsi naona madaktari wana mchango mkubwa kuliko sekta zingine. Mungu awabariki madaktari.