Mdude CHADEMA: Nilipotekwa na Polisi madaktari walinihudumia bila Pf 3, Mungu awabariki

Mdude CHADEMA: Nilipotekwa na Polisi madaktari walinihudumia bila Pf 3, Mungu awabariki

View attachment 2474958
---

Nilipotekwa 2019 polisi walikataa kutoa PF3,lakini haikuzuia madaktari wa hospital ya kanda Mbeya kunihudumia tena kwa emergency kulingana na hali mbaya niliyokuwa nayo mpaka nikapona.

Binafsi naona madaktari wana mchango mkubwa kuliko sekta zingine. Mungu awabariki madaktari.
Ubarikiwe na wewe pia Mdude
 
U
Vyombo vya dola ni vya Tanzania, na siyo vya CCM.
Changamoto ni uelewa wa watumishi wa vyombo hivyo pamoja na wananchi.
Watumishi wa uma hasa vyombo vya ulinzi na usalama hawatakiwi kujihusisha au kupendelea chama chochote Cha siasa kwa uwazi. Katiba na sheria zinakataza.
Uhalisia sasa ni tofauti
 
Back
Top Bottom