Mdude CHADEMA: Nilipotekwa na Polisi madaktari walinihudumia bila Pf 3, Mungu awabariki

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969

---

Nilipotekwa 2019 polisi walikataa kutoa PF3,lakini haikuzuia madaktari wa hospital ya kanda Mbeya kunihudumia tena kwa emergency kulingana na hali mbaya niliyokuwa nayo mpaka nikapona.

Binafsi naona madaktari wana mchango mkubwa kuliko sekta zingine. Mungu awabariki madaktari.
 
Akili za Mdude zimerudi baada ya kupokea kwenzi za kutosha
 
Mateso yoote lakini teso la kupigwa shoti kwenye (nyanihaoni...) ilo teso natumai atashetani hajalipitisha sjui mafulishi wetu wamelitoa wapi asee....pole tena asee mdude!!
 
Kuna kingine ambacho ilibidi awashukuru hao waliomtibu japo yeye hakijui walipewa maelekezo toka juu wakutie sindano la sumu ila hawakutekeleza tu maagizo
 
Kuna kingine ambacho ilibidi awashukuru hao waliomtibu japo yeye hakijui walipewa maelekezo toka juu wakutie sindano la sumu ila hawakutekeleza tu maagizo
Kosa kubwa sana kuua watu kisa wanakukosoa......Kwani wewe Mungu ?
 
Kuna kingine ambacho ilibidi awashukuru hao waliomtibu japo yeye hakijui walipewa maelekezo toka juu wakutie sindano la sumu ila hawakutekeleza tu maagizo

unaijua sumu au unasimiliwa kwenu sitimba baada ya kupata mtandao wa bando
 
CCM na vyombo vyake vya dola vya ulinzi na usalama (ukiwatoa JWTZ) ni wakala wa shetani.
Vyombo vya dola ni vya Tanzania, na siyo vya CCM.
Changamoto ni uelewa wa watumishi wa vyombo hivyo pamoja na wananchi.
Watumishi wa uma hasa vyombo vya ulinzi na usalama hawatakiwi kujihusisha au kupendelea chama chochote Cha siasa kwa uwazi. Katiba na sheria zinakataza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…