Tetesi: Mdude Chadema: Nimepata taarifa kuwa Ikulu wana mpango wa kunishughulikia kama enzi za mwendazake

Tetesi: Mdude Chadema: Nimepata taarifa kuwa Ikulu wana mpango wa kunishughulikia kama enzi za mwendazake

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Screenshot_20220919-084903.jpg
 
Wasiwasi wake tu, Samia angetaka angumuacha jela.

Ule ulikuwa Utawala wa Jinamizi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti malkia Yezebel
 
Aache matusi bhana....kutumia majina kama Yezebeli kwa unaowakosoa sio uungwana.
Naona hamjui hata maana ya matusi, mtu ukiwa na matendo yanayofanana na yule aliyeitwa hilo jina, nawe ukiitwa hivyo hujatukanwa, that's your nickname.

Majina yakiwa mazuri mnayapenda, ila mabaya hamyataki, hata kama mnasifa hizo, sio poa.
 
Tatizo lake ni kutumia lugha chafu na za kejeli kufikisha ujumbe, wapinzani wapo wengi ila yeye ni MPUMBAVU hata mimi "ningemshughulikia" japo siipendi CCM.

Kuna namna ya kujenga hoja bila kutukana, kukejeli, kudhihaki na kukashifu wengine.

Adabu gani anamkashfu hadi Rais wa nchi!
 
Naona hamjui hata maana ya matusi, mtu ukiwa na matendo yanayofanana na yule aliyeitwa hilo jina, nawe ukiitwa hivyo hujatukanwa, that's your nickname.

Majina yakiwa mazuri mnayapenda, ila mabaya hamyataki, hata kama mnasifa hizo, sio poa.
Unaweza kuzitaja hizo tabia za Yezebeli ulizoziona kwake?...acheni kushabikia matusi, kuweni watu wazima.
 
Hili lilitarajiwa mapema sana kwani mama alisema yeye na jpm ni kitu kimoja na safu aloipanga hivi majuzi kule wizara ya masauni. Chadema wakae kwa tahadhari haswa.
Mdude, Maria, Hilda newton sijui afadhali kina pambalu na mwaipaya sasa hivi wamepoa. It was just a matter of time. Hawaoni mbowe kakaka na buyu lake analamba asali kimya.

Sent from my Infinix X605 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom