Tetesi: Mdude Chadema: Nimepata taarifa kuwa Ikulu wana mpango wa kunishughulikia kama enzi za mwendazake

Tetesi: Mdude Chadema: Nimepata taarifa kuwa Ikulu wana mpango wa kunishughulikia kama enzi za mwendazake

Wasiwasi wake tu, Samia angetaka angumuacha jela.

Ule ulikuwa Utawala wa Jinamizi.
Kumbe nje ya Mahakama yupo anayewaweka na kuwatoa washtakiwa jela...Mungu tusaidie Watanzania! Sasa naweza kuielewa ile tuhuma dhidi ya Mahakama kusubiri maagizo kutoka juu katika kutenda na kutoa haki.
 
Kumbe nje ya Mahakama yupo anayewawaweka na kuwatoa washtakiwa jela...Mungu tusaidie Watanzania! Sasa naweza kuielewa ile tuhuma dhidi ya Mahakama kusubiri maagizo kutoka juu katika kutenda na kutoa haki.
Muhimili ulio huru kwa asilimia 100 ni mmoja tu, hiyo mingine ina Uhuru wa karatasi tu na ni rahisi sana kuwa 'compromised' na muhimili mkuu.
 
Mdude anatafuta tu "attention' nyepesi.

Kama anataka asikike, apige kilele kuhusu mambo ya hovyo yanayofanywa na ccm kama hizi tozo watu watamsikia.
Nimemuangalia kwa muda mrefu, huyo kijana ana matatizo na baadhi ya wanaomshangilia wanatambua hilo ila pengine wanaogopa kumwambia ukweli apate tiba.

Ukitaka kujua mtu ana matatizo ya kisaikolojia anza kuangalia vile anavyoongea.

Ni katatizo ka kudhani kwamba watu wengi wanakutazama kumbe hamna mtu mwenye habari na wewe.

Najua wengi hawapo tayari kusikia hili, hakuna mtu anayeweza kuhangaika na mpinzani au mwanaharakati yeyote kwa sasa kwakuwa wameshajua hakuna madhara yoyote wanaweza kuleta kutokana na harakati zao za kisiasa.
 
Ameteswa sana na Utawala wa Dhalimu Mwendazake, huenda ana ptsd.
Anatakiwa apate tiba sasa mkuu, na CHADEMA hawamwambii, wanamshangilia tu mtu mwenye matatizo.

Kukaa na kumuita Rais wa Nchi majina ya kumdhalilisha ili utafutwe na uzungumziwe sio kitu kizuri. Unapopuuzwa ndio unaanza kutunga uongo wa Ikulu kutaka kukushughulikia. Yani Ikulu ikapange mikakati ya kumshughulikia Mdude?

Nimemuangalia kwa muda mrefu, huyo kijana ana matatizo na baadhi ya wanaomshangilia wanatambua hilo ila pengine wanaogopa kumwambia ukweli apate tiba.

Ukitaka kujua mtu ana matatizo ya kisaikolojia anza kuangalia vile anavyoongea.

Ni katatizo ka kudhani kwamba watu wengi wanakutazama kumbe hamna mtu mwenye habari na wewe.

Najua wengi hawapo tayari kusikia hili, hakuna mtu anayeweza kuhangaika na mpinzani au mwanaharakati yeyote kwa sasa kwakuwa wameshajua hakuna madhara yoyote wanaweza kuleta kutokana na harakati zao za kisiasa.
Kwa nini basi mnaogopa mikutano ya kisiasa? Kama ungejiuliza hilo ungepata jibu na si huu ujinga uliouandika hapa>
 
Kwa nini basi mnaogopa mikutano ya kisiasa? Kama ungejiuliza hilo ungepata jibu na si huu ujinga uliouandika hapa>
Katiba ya Nchi pamoja na sheria nyingine zote zinakuruhusu wewe kama chama cha siasa kufanya mikutano ya kisiasa, halafu unakaa unasubiri uruhusiwe?

Unapodai umezuiliwa kufanya shughuli zako muhimu bila sababu yenye mashiko na ukakaa kimya unalalamika mitandaoni, si ndio unathibitisha wewe kutokuwa na uwezo wa kuleta madhara yoyote kwa mtawala? Sasa atahangaika na wewe?
 
Back
Top Bottom