4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Na Kama ni kweli unaweza ona ni KWa namna GANI taifa linafeli Sana, Yapo Mambo Ikulu inatakiwa kuumiza kichwa ikiwa ni pamoja na majizi yanayo kwapua fedha na mali za uma, haya yanatakiwa shughulikiwa ,ila sio kaa umiza kichwa na watu kama Mdude,Mdude hawawezi kuwa muoga, mlimkomaza wenyewe mkamuongezea ujasiri alionao.
Nyie ndio waoga, uoga wenu wa kumkamata na kumbambikia kesi ili kumfunga mdomo ndio umemfanya asiogope hata magereza yenu.
Kinyatta katukanwa na watu / wapinzani wake lakin kamaliza Urais wake,
Hivi Mdude anaweza kuwa na kauli kali kumzidi MALEMA, wa south Afrika,
Ccm na serikali yake hupenda mpa mwenyekiti wao utukufu ambao hata manabii wa kale hawakua nao lengo ni kulaghai mwenyekiti wao huku wakitafuta nafasi za upigaji,
Unalazimisha ndani taifa KILA mtu awe pro mapambio hata kwenye Mambo ya ajabu, Kama hamtaki sikia maneno makali kutoka kwa wale waonao hamko sawa jirekebishe,au jiuzulu,au nenda Burundi
Sasa kamzuru Kama mpango huo ni kweli , muone nguvu ya Mungu juu yenu , mtapukutika Kama siafu, leo mpango wa Mungu KWa serikali hii, itaenda pita majaribu Kama kumi na sijajua what next , ila bado bado inalazimiasha mengine yasio na tija,
Yapo majaribu 10 KWa serikali hii Mungu anasema , na yapo juu ya uwezo wa kufikili kwa binadam wa kawaida,