Tetesi: Mdude Chadema: Nimepata taarifa kuwa Ikulu wana mpango wa kunishughulikia kama enzi za mwendazake

Tetesi: Mdude Chadema: Nimepata taarifa kuwa Ikulu wana mpango wa kunishughulikia kama enzi za mwendazake

Mdude hawawezi kuwa muoga, mlimkomaza wenyewe mkamuongezea ujasiri alionao.

Nyie ndio waoga, uoga wenu wa kumkamata na kumbambikia kesi ili kumfunga mdomo ndio umemfanya asiogope hata magereza yenu.
Na Kama ni kweli unaweza ona ni KWa namna GANI taifa linafeli Sana, Yapo Mambo Ikulu inatakiwa kuumiza kichwa ikiwa ni pamoja na majizi yanayo kwapua fedha na mali za uma, haya yanatakiwa shughulikiwa ,ila sio kaa umiza kichwa na watu kama Mdude,

Kinyatta katukanwa na watu / wapinzani wake lakin kamaliza Urais wake,

Hivi Mdude anaweza kuwa na kauli kali kumzidi MALEMA, wa south Afrika,

Ccm na serikali yake hupenda mpa mwenyekiti wao utukufu ambao hata manabii wa kale hawakua nao lengo ni kulaghai mwenyekiti wao huku wakitafuta nafasi za upigaji,

Unalazimisha ndani taifa KILA mtu awe pro mapambio hata kwenye Mambo ya ajabu, Kama hamtaki sikia maneno makali kutoka kwa wale waonao hamko sawa jirekebishe,au jiuzulu,au nenda Burundi

Sasa kamzuru Kama mpango huo ni kweli , muone nguvu ya Mungu juu yenu , mtapukutika Kama siafu, leo mpango wa Mungu KWa serikali hii, itaenda pita majaribu Kama kumi na sijajua what next , ila bado bado inalazimiasha mengine yasio na tija,

Yapo majaribu 10 KWa serikali hii Mungu anasema , na yapo juu ya uwezo wa kufikili kwa binadam wa kawaida,
 
Tatizo lake ni kutumia lugha chafu na za kejeli kufikisha ujumbe, wapinzani wapo wengi ila yeye ni MPUMBAVU hata mimi "ningemshughulikia" japo siipendi CCM.

Kuna namna ya kujenga hoja bila kutukana, kukejeli, kudhihaki na kukashifu wengine.

Adabu gani anamkashfu hadi Rais wa nchi!
Mpuuzi ni wewe! Kodi yake na yako ndiyo inamfanya ainue mkia na kukata anga pande zote za dunia na kuishi kimalkia! Alitakiwa awe na adabu yeye anaye kula vyetu Araa!
 
Tatizo lake ni kutumia lugha chafu na za kejeli kufikisha ujumbe, wapinzani wapo wengi ila yeye ni MPUMBAVU hata mimi "ningemshughulikia" japo siipendi CCM.

Kuna namna ya kujenga hoja bila kutukana, kukejeli, kudhihaki na kukashifu wengine.

Adabu gani anamkashfu hadi Rais wa nchi!
Huyu Ana mdomo mchafu..
Inabidi ashauriwe sasa

Ova
 
Wamelazimishwa kutukana?
Wewe umelazimishwa nanani kiropoka kila jambo?
Tukikuambia uoneshe matusi waliyotukana utatuonesha?
Mkapa alishawahi kuita watu malofa hapa alifanywa nn kama kweli mnayachukia matusi?
Polepole alitukana wqngapi?.alifanywa nn lini na wapi?
Kuwa mtu mzima mzee
 
Tatizo lake ni kutumia lugha chafu na za kejeli kufikisha ujumbe, wapinzani wapo wengi ila yeye ni MPUMBAVU hata mimi "ningemshughulikia" japo siipendi CCM.

Kuna namna ya kujenga hoja bila kutukana, kukejeli, kudhihaki na kukashifu wengine.

Adabu gani anamkashfu hadi Rais wa nchi!
Jamaa hajielewi kabisa ana akili kama za kuku.
Yaani anamtukana mtu ambaye amemuokoa kutoka gerezani kwa huruma eti leo anavimba kichwa kumtunishia misuli,kwa ulinzi gani aliokuwa nao.
Pia hata wazazi nawalaumu kwa kutomshauri vizuri kijana wao,maana yakimfika hao watakuwa ndio wahanga wakubwa.
 
Mdude anatafuta tu "attention' nyepesi.

Kama anataka asikike, apige kilele kuhusu mambo ya hovyo yanayofanywa na ccm kama hizi tozo watu watamsikia.
Si aingie msituni basi tujuwe moja

Ova
 
Huyu itakuwa hajalambishwa asali km maboss zake. Mlambisheni na huyu aache kelele
 
Jamaa hajielewi kabisa ana akili kama za kuku.
Yaani anamtukana mtu ambaye amemuokoa kutoka gerezani kwa huruma eti leo anavimba kichwa kumtunishia misuli,kwa ulinzi gani aliokuwa nao.
Pia hata wazazi nawalaumu kwa kutomshauri vizuri kijana wao,maana yakimfika hao watakuwa ndio wahanga wakubwa.
Hana adabu,unapokosoa kwa lugha chafu nani atakuelewa

Ova
 
Back
Top Bottom