Tetesi: Mdude Chadema: Nimepata taarifa kuwa Ikulu wana mpango wa kunishughulikia kama enzi za mwendazake

Tetesi: Mdude Chadema: Nimepata taarifa kuwa Ikulu wana mpango wa kunishughulikia kama enzi za mwendazake

Tatizo lake ni lugha chafu na za kejeli kufikisha ujumbe wake, wapinzani wapo wengi ila yeye ni MPUMBAVU hata mimi "ningemshughulikia" japo siipendi CCM.

Kuna namna ya kujenga hoja bila kutukana, kukejeli, kudhihaki na kukashifu wengine
Kabisa...
Na Democrasia nikushindana kwa hoja na sio matusi dharau na kebehi.
Kwani wakubwa hana yeye...???

Mbona hana nidham asee huyu.Mi huwa na mchukulia kama mvuta bangi kama mateja tuu wengine wakule Karume
 
Jamaa huyu akili zake anazijua yeye. Huwezi kumuita rais wetu jina la shetani, ni dharau sana.

Raisi anayepaswa kuheshimiwa ni yule aliyeko madarakani kwa uchaguzi wa heshima. Uchaguzi wa 2020 hautoi nafasi ya heshima uitakayo. Tunaposisitiza uchaguzi uheshimiwe ni pamoja na kuwa na haki ya kuheshimiwa.
 
Kabisa...
Na Democrasia nikushindana kwa hoja na sio matusi dharau na kebehi.
Kwani wakubwa hana yeye...???

Mbona hana nidham asee huyu.Mi huwa na mchukulia kama mvuta bangi kama mateja tuu wengine wakule Karume
Ni kijana wa hovyo sana huyu Mdude Nyangali
 
Naona hamjui hata maana ya matusi, mtu ukiwa na matendo yanayofanana na yule aliyeitwa hilo jina, nawe ukiitwa hivyo hujatukanwa, that's your nickname.

Majina yakiwa mazuri mnayapenda, ila mabaya hamyataki, hata kama mnasifa hizo, sio poa.
wananapenda wasifiwe tu
 
Watanzania wanashida zao nyingi kwa sasa sidhani kama wanahaja ya kuwaonea huruma wanasiasa.
 
Unaweza kuzitaja hizo tabia za Yezebeli ulizoziona kwake?...acheni kushabikia matusi, kuweni watu wazima.
Mbowe kubambikiwa kesi na kukaa gerezani zaidi ya miezi 6.. ukinipara nitakuparua.

Thinking yenu imetawaliwa na hisia sana, badala ya brain.
 
Tatizo lake ni lugha chafu na za kejeli kufikisha ujumbe wake, wapinzani wapo wengi ila yeye ni MPUMBAVU hata mimi "ningemshughulikia" japo siipendi CCM.

Kuna namna ya kujenga hoja bila kutukana, kukejeli, kudhihaki na kukashifu wengine
Tuna umbwe kubwa sana la malezi mkuu mimi huwa nashangaa mtu kuwa mpinzani ni lazima uwe na lugha kali kali au zenye utata?
 
Mwanachadema umeamuacha kamanda umebaki upande wa ccm au zile aya[emoji16]
Huenda hujui Siasa, na Siasa sio ajenda moja tu, mnaweza kuwa mko kwenye Chama kimoja lakini mkawa na different views kuhusu mambo fulani fulani.
 
Anatafuta TU umaarufu usio na tija

Na kujipa umuhimu asokua nao,
Hana impact yoyote kwa Sasa huyo kichaa

Hakuna wa kuhangaika na mpuuz yule
 
kwa ujasiri huu wa kumwita Rais Samia kuwa Yezebeli...hakika, kwa mara ya kwanza ninailaumu sana serikali kwa kukaa kama vile haioni tusi na dhikaha hii. Wamechelewa sana kukushughulikia.

Safari hii upelekwe mahakama uthibitishe u-Yezebeli wa Samia ukilinganisha na matendo ya Yezebeli katika Biblia. Ukishindwa ufungwe kabisa labda huko gerezani utajifunza kuwa na adabu na kutumia maneno ya staha.
Kisha ukitoka utuonyeshe Ahabu ni nani. Na ukishindwa kutuonyesha Ahabu ufungwe tena.
 
Aache matusi bhana....kutumia majina kama Yezebeli kwa unaowakosoa sio uungwana.
Huyu bwana mdg mdude hawezi kukosoa kwa staha bila kutukana Wala kukashifu wengine

Akishaanza kutukana hata Kama anahoja,tunampuuza na kuchukulia Ni mihemko na chuki zake TU vinamsumbua
 
Back
Top Bottom