Tetesi: Mdude Chadema: Nimepata taarifa kuwa Ikulu wana mpango wa kunishughulikia kama enzi za mwendazake

Mdude ana matatizo ya kisaikolojia, anahitaji kupatiwa msaada.
Hata mimi nahisi,yaani serikali na dola yake yote eti ikae kumfikiria mdude ambaye hana hata silaha ya kienyeji[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ikulu ya malkia yezebeli ni ya wapi?tuanzie hapo kwanza,maana watu mnamshambulia mdude pasipokujua hiyo ikulu in ya wapi?Hatawampeleke mahakamani hakutakuwa na kosa hapo
 
Endelea kumdanganya!
 
Mpuuzi ni wewe! Kodi yake na yako ndiyo inamfanya ainue mkia na kukata anga pande zote za dunia na kuishi kimalkia! Alitakiwa awe na adabu yeye anaye kula vyetu Araa!
Uwe na akili kwani huyo chizi anashindwa kujenga hoja bila kutukana, mbona mwenyekiti wake wa chama hatukani ukifuatilia vizuri post zake hata wanachama wenzake hawa_comment wala ku_like ni kama wamemtenga
 
Kumwita Rais "Yezebeli" we unaona ni sawa? Kwa mtazamo wako nchi hii wapinzani au wanachama wa upinzani wapo wangapi? Kuna anayetumia lugha chafu kama Mdude?
 
Hata mimi nahisi,yaani serikali na dola yake yote eti ikae kumfikiria mdude ambaye hana hata silaha ya kienyeji[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Watu wanadhani kufuatiliwa na serikali ni kwa kila mtu sijui. Kuna watu ambao wakifanya harakati zinawaingia watu, watu wanashawishika na kuwafuata, hao ni watu kama Tundu Lissu, watu wanaosoma na kutafiti kwelikweli. Sasa Mdude anafanya harakati gani? Anamshawishi nani na akashawishika kufanya kitu mpaka Ikulu ianze kumtazama?

Na kuna watu akiwaambia hivyo wanamuamini na kumwambia pambana kamandaπŸ˜…

Ni mtu tu mwenye matatizo ya kisaikoloji anayehitaji kupatiwa msaada ili akae sawa, hata aweze kuongea kwa utaratibu aeleweke.
 
Unaweza kuzitaja hizo tabia za Yezebeli ulizoziona kwake?...acheni kushabikia matusi, kuweni watu wazima.
Ingia Google au kwy biblia ukamsome Yezebel. Tozo zituchanganye na wewe uchanganye watu na wakati biblia ipo

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kumwita Rais "Yezebeli" we unaona ni sawa? Kwa mtazamo wako nchi hii wapinzani au wanachama wa upinzani wapo wangapi? Kuna anayetumia lugha chafu kama Mdude?
Mtu huwajibika kwa anachokisema na sio kwa namna kinavyotafsiriwa na wapokeaji. Mdude hatuwezi kulazimisha afanane na wengine sababu kila mmoja ana namna alivyolelewa, usilazimishe aishi maisha ya wengine.
 
Mkuu yaishe, kama ulivyosema kila ana-behavior ya mazingira aliyokulia, naona yako yanafanana na Mdude
 
Apa ndipo na semaga siasa ni mchezo mbaya huyu anacho kitafuta cha kwanza ni sifa
Cha pili uchonganishi kati ya serekali na raia wake

Mimi ua na jiuliza kama raisi ni tasisi kubwa ina shindwaje kuua nyani kama hawa ata kwa kutumia jambazi tu na mengine
Acheni sifa zitakuja kuwaponza one day na kama kweli jpm alikuwa ana waponda alikuwa sahii ni bora katika inchi tuwe na watu 10 wenye akili na uelewa kuliko kuwa na watu milioni na zaidi ambao hawana akili
 
Uwe na akili kwani huyo chizi anashindwa kujenga hoja bila kutukana, mbona mwenyekiti wake wa chama hatukani ukifuatilia vizuri post zake hata wanachama wenzake hawa_comment wala ku_like ni kama wamemtenga
Uwe na akili wewe usiyeelewa ni nani wa kuwajibika kwa nani! Matusi ni yapi hapo! Anayeandika ni mtu ambaye alitekwa na utawala wa huyu huyu na kuteswa kama mnyama na hakuna aliyechukuliwa hatua. Ana haki mwache awaite majina yote mabaya!
 
Wewe mbwa kwani kuua ni ndiyo sifa na ufumbuzi! Una kichwa cha kuku wewe! Umesema kweli lakini "kutumia majambazi" kumbe ndiyo mbinu zinazotumika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…