Mdude: Lissu, Heche, Lema ni wapinzani wa kweli Tanzania. Nilipokuwa Polisi Oysterbay baada ya mateso makali nikasikia mahabusu wanaimba Lissu! Lissu!

Alipigwa mabilioni mengi tu. Na alipokubali kuwaingiza akina Mdee bungeni alipigwa bilioni 15. Halafu akawa anazingua kama hajui kitu.

Mzee Mbowe ni mjasiriaSiasa.
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
๐“๐ฎ๐ง๐๐ฎ ๐‹๐ข๐ฌ๐ฌ๐ฎ, ๐‰๐จ๐ก๐ง ๐‡๐ž๐œ๐ก๐ž ๐ง๐š ๐‹๐ž๐ฆ๐š ๐ง๐ข ๐ฐ๐š๐ฉ๐ข๐ ๐š๐ง๐ข๐š ๐ก๐š๐ค๐ข ๐ฐ๐š ๐ฎ๐ค๐ฐ๐ž๐ฅ๐ข ๐ญ๐ฎ๐ฐ๐š๐ฎ๐ง๐ ๐ž ๐ฆ๐ค๐จ๐ง๐จ.

Lissu, Heche na Lema hawa ni rafiki na ndugu wa haki. Kujitoa kwao kupigania haki za mtu & watu wowote kwao ni jambo la kawaida. Binafsi kwangu kila mmoja amehusika kunisaidia kupigania haki zangu tangu mwaka 2016.

Heche na Lema walifanya mchakato wa kunitorosha nchini mwaka 2018 wakati wa jaribio la utekaji dhidi yangu katika ziara ya makamu Rais mkoa wa Songwe na Mbeya.

Kwa mujibu wa mmoja wa watekaji aliyeamua kutoa taarifa za kunisaidia alisema watekaji waliokuwa kwenye ziara ya makamu wa Rais walikuwa na kazi mbili, moja ilikuwa ni kunipoteza na kazi ya pili ilikuwa kufanya uchunguzi wa tuhuma za RC wa Songwe wakati huo alikuwa akiitwa Chiku Galawa.

Nilimpigia Simu heche muda huo huo na kumsimulia, akachukua hatua kumpigia simu Haonga aliyekuwa mbunge wa Mbozi kwamba afanye awesavyo anitoroshe Vwawa mkoani Songwe mpaka Mbeya kwa wakili wangu Mwabukusi wakati yeye na Lema wanafanya utaratibu wa kunitafutia sehemu salama.

Ni kweli nilifanikiwa kutolokea Arusha kwa gari ya wakili wangu Mwabukusi kabla ya mimi kughaili mpango wa kukimbilia Kenya ambako Lema na Heche waliandaa mazingira. Nikiwa uhamishoni Arusha baada tu ya ziara ya makamu wa Rais kutamatika, ikulu ilitoa press statement ambayo ndani yake moja ya taarifa zilikuwa ni kutumbuliwa kwa yule RC wa Songwe ambaye watekaji walisema wamekuja kufanya uchunguzi dhidi yake na kunipoteza mimi. Hapo niliamini kweli nilikuwa kwenye target. Wakati wote niko Arusha Lema ananichukua na kunipeleka lunch na dinner wakati wote huku akinitia moyo.

Lissu kaka yangu mpendwa alifika Oysterbay baada ya kutekwa na kuteswa na polisi kisha kusafirishwa mpaka Dar mwaka 2016. Baada ya kufikishwa Dar nilichukuliwa na vikosi vya task force mpaka mikocheni kwenye moja ya nyumba zao za mateso nikaanza kuteswa huku nikiwa nimevuliwa nguo zote. Niliteswa kutwa nzima kabla ya kurudishwa Oysterbay na baadaye kupelekwa hospital ya Mwananyamala kutokana na hali yangu kuwa mbaya.

Baada ya matibabu nilirudishwa Oysterbay. Lissu alifika na nilisikia mahabusu waliokuwa wakichungulia dirishani wakiimba Lissu ! Lissu! Huku wakisisitiza kwamba Mdude hapa umetoka kuna siku Lissu alikuja hapa usiku wa saa sita na aliwatoa watu. Kwanza nilikuwa nashindwa kusimama kutokana na maumivu ya kipigo ila nilivyosikia Lissu yuko nje anaingia pale kituoni nilisimama kwa furaha na ujasiri.

Kwanza Lissu alipiga mkwala kwa RPC wa Kinondoni kutaka nipelekwe mahakamani au nipewe dhamana. Mimi ndio mtu wa kwanza kumsimulia Lissu uwepo wa nyumba za mateso kwa raia wakiwemo wapinzani wa serikali. Lissu akaniahidi kwamba anaenda kufanya press kwa lugha ya kiswahili na kingereza ili dunia ijue wapinzani wanavyoteswa na serikali.

Lissu huyu hakuishia hapo akaenda bungeni kuzungumza kuhusu mateso yangu na nyumba za mateso kwa ajili ya wakosoaji ya serikali.

Hivi katika mazingira haya ni nani unaweza kuja ukaniambia hawa watu ni vibaraka wa serikali nikakuelewa? Watu wanaojitoa kutetea haki namna hii tangu wakawa vibaraka wa serikali? Kwamba hawa wakaa kimya tukitekwa, tukiumizwa ndio wapinzani wa kweli halafu akina Lissu ndio vibaraka? Labda mgonjwa wa akili ndio ataamini.

Watanzania wenzangu tuwaunge mkono wapigania haki hawa katika nafasi zozote wanazogombea iwe ndani ya chama au serikali.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.View attachment 3186317
Lissu for president
 
Naomba ushahidi wa hayo ulioandika
A.Bado unaamini kuwa :-
1. Mdee.
2. Mke wa naibu katibu mkuu Zanzibar (Salumu Mwalimu).
3. Mke wa naibu katibu mkuu bara (Benson Kigailla)
4. Mke wa meneja kampeni wa mgombea urais (Ally Bananga).

Waliingia bungeni bila ruhusa ya mwenye kikoba?? Taarifa alikuwa nazo na ndiye aliyewaruhusu.

B. Bado unaamini kuwa Wenje alienda kufanya udalali kwa Lisu bila Mbowe kujuwa na kupigwa mpunga kwanza??

Mbowe kwa tamaa ya fedha, Mungu anamuona. Kikoba amekitumia ipasavyo.
 
Wao wameamua kuingia bungeni ulitaka yey afanyeje? Kwann yeye alizuia watu kushtakiwa? Yeye ana nafasi kweny mahusiano ya hao wasaidizi wake na familia zao? Kila anachofanya Wenje lazima yy ajue na tuna uhakika aliendwa kuhongwa au alienda kusaidiwa na issue zake za matibabu ambapoo na yy Lissu tuna maswal ya kumuuliza sheria ndo zinataka mtu kulipwa kwa kupitia rais au mwanae?
 
Mzee wa saccos amestukiwa mwaka huu. Amewapaka matope ya usaliti watu wengi sana waliokuwa wakikitaka kiti cha uenyekiti.

Lkn mwaka huu, hapa kwa mpakwa mafuta Lisu , amekwama. Huyo mzee wa kikoba Sasa anaitwa tapeli, mwizi, mla rushwa na mfitini. Havhomoki!!

Kama anabisha, endeleeni kumjaza!
 
Lazima ukimbie kwenye maada sasa hayo mdo maswali yangu hapo juu? Ni kumchafua tu mtu bila sababu ambazo mnaweza kuziprove. Tulieni na tukutane kwenye box la kura.
 
๐“๐ฎ๐ง๐๐ฎ ๐‹๐ข๐ฌ๐ฌ๐ฎ, ๐‰๐จ๐ก๐ง ๐‡๐ž๐œ๐ก๐ž ๐ง๐š ๐‹๐ž๐ฆ๐š ๐ง๐ข ๐ฐ๐š๐ฉ๐ข๐ ๐š๐ง๐ข๐š ๐ก๐š๐ค๐ข ๐ฐ๐š ๐ฎ๐ค๐ฐ๐ž๐ฅ๐ข ๐ญ๐ฎ๐ฐ๐š๐ฎ๐ง๐ ๐ž ๐ฆ๐ค๐จ๐ง๐จ.

Lissu, Heche na Lema hawa ni rafiki na ndugu wa haki. Kujitoa kwao kupigania haki za mtu & watu wowote kwao ni jambo la kawaida. Binafsi kwangu kila mmoja amehusika kunisaidia kupigania haki zangu tangu mwaka 2016.

Heche na Lema walifanya mchakato wa kunitorosha nchini mwaka 2018 wakati wa jaribio la utekaji dhidi yangu katika ziara ya makamu Rais mkoa wa Songwe na Mbeya.

Kwa mujibu wa mmoja wa watekaji aliyeamua kutoa taarifa za kunisaidia alisema watekaji waliokuwa kwenye ziara ya makamu wa Rais walikuwa na kazi mbili, moja ilikuwa ni kunipoteza na kazi ya pili ilikuwa kufanya uchunguzi wa tuhuma za RC wa Songwe wakati huo alikuwa akiitwa Chiku Galawa.

Nilimpigia Simu heche muda huo huo na kumsimulia, akachukua hatua kumpigia simu Haonga aliyekuwa mbunge wa Mbozi kwamba afanye awesavyo anitoroshe Vwawa mkoani Songwe mpaka Mbeya kwa wakili wangu Mwabukusi wakati yeye na Lema wanafanya utaratibu wa kunitafutia sehemu salama.

Ni kweli nilifanikiwa kutolokea Arusha kwa gari ya wakili wangu Mwabukusi kabla ya mimi kughaili mpango wa kukimbilia Kenya ambako Lema na Heche waliandaa mazingira. Nikiwa uhamishoni Arusha baada tu ya ziara ya makamu wa Rais kutamatika, ikulu ilitoa press statement ambayo ndani yake moja ya taarifa zilikuwa ni kutumbuliwa kwa yule RC wa Songwe ambaye watekaji walisema wamekuja kufanya uchunguzi dhidi yake na kunipoteza mimi. Hapo niliamini kweli nilikuwa kwenye target. Wakati wote niko Arusha Lema ananichukua na kunipeleka lunch na dinner wakati wote huku akinitia moyo.

Lissu kaka yangu mpendwa alifika Oysterbay baada ya kutekwa na kuteswa na polisi kisha kusafirishwa mpaka Dar mwaka 2016. Baada ya kufikishwa Dar nilichukuliwa na vikosi vya task force mpaka mikocheni kwenye moja ya nyumba zao za mateso nikaanza kuteswa huku nikiwa nimevuliwa nguo zote. Niliteswa kutwa nzima kabla ya kurudishwa Oysterbay na baadaye kupelekwa hospital ya Mwananyamala kutokana na hali yangu kuwa mbaya.

Baada ya matibabu nilirudishwa Oysterbay. Lissu alifika na nilisikia mahabusu waliokuwa wakichungulia dirishani wakiimba Lissu ! Lissu! Huku wakisisitiza kwamba Mdude hapa umetoka kuna siku Lissu alikuja hapa usiku wa saa sita na aliwatoa watu. Kwanza nilikuwa nashindwa kusimama kutokana na maumivu ya kipigo ila nilivyosikia Lissu yuko nje anaingia pale kituoni nilisimama kwa furaha na ujasiri.

Kwanza Lissu alipiga mkwala kwa RPC wa Kinondoni kutaka nipelekwe mahakamani au nipewe dhamana. Mimi ndio mtu wa kwanza kumsimulia Lissu uwepo wa nyumba za mateso kwa raia wakiwemo wapinzani wa serikali. Lissu akaniahidi kwamba anaenda kufanya press kwa lugha ya kiswahili na kingereza ili dunia ijue wapinzani wanavyoteswa na serikali.

Lissu huyu hakuishia hapo akaenda bungeni kuzungumza kuhusu mateso yangu na nyumba za mateso kwa ajili ya wakosoaji ya serikali.

Hivi katika mazingira haya ni nani unaweza kuja ukaniambia hawa watu ni vibaraka wa serikali nikakuelewa? Watu wanaojitoa kutetea haki namna hii tangu wakawa vibaraka wa serikali? Kwamba hawa wakaa kimya tukitekwa, tukiumizwa ndio wapinzani wa kweli halafu akina Lissu ndio vibaraka? Labda mgonjwa wa akili ndio ataamini.

Watanzania wenzangu tuwaunge mkono wapigania haki hawa katika nafasi zozote wanazogombea iwe ndani ya chama au serikali.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.View attachment 3186317

Habari mbaya mno kwa chawa wa huyu ndugu:

Gfn6YE-XkAATunC.jpeg
 
Lazima ukimbie kwenye maada sasa hayo mdo maswali yangu hapo juu? Ni kumchafua tu mtu bila sababu ambazo mnaweza kuziprove. Tulieni na tukutane kwenye box la kura.
Opinion polls huwa zinatoa taswira ya kile kitakachotokea kwenye box. Opinion polls toka vyanzontofauti zinaonesha Mbowe hatakiwi siyo tu na umma, bali hata wanachama wenzake.

Bavicha Ilala, Bavicha Ubungo, Bavicha Iringa Mjini, na Kikao cha viongozi wa chadema mkoa wa Shinyanga, kote huko wametoa matamko ya kumpinga.

Wewe bado huoni tu kuwa hatakiwi??
 
Daah ndo maan nchi haiendelei. Yaan hio mikoa ya kichama mitatu na tena sio wote ni baadhi ya viongozi tu ndo useme opnions za wapiga kura wote?? Nakukumbusha tu wapiga kura sio nyinyi bali ni wajumbe wa mkutano mkuu na bahati mbaya viongozi wote wa kanda zote wapo na mahusiano mazuri na Mwenyekiti hivyo ana nafasi kubwa ya kua na opnion polls kubwa ingekua kura zinapigwa X au clubhouse basi nisingekubishia. Mwisho; usiwe mjinga lasivyo utakua mtaji wa wanasiasa miaka yote we hujiulizi kwann hizo tuhuma ziletwe kipind cha uchaguzi?
 
๐“๐ฎ๐ง๐๐ฎ ๐‹๐ข๐ฌ๐ฌ๐ฎ, ๐‰๐จ๐ก๐ง ๐‡๐ž๐œ๐ก๐ž ๐ง๐š ๐‹๐ž๐ฆ๐š ๐ง๐ข ๐ฐ๐š๐ฉ๐ข๐ ๐š๐ง๐ข๐š ๐ก๐š๐ค๐ข ๐ฐ๐š ๐ฎ๐ค๐ฐ๐ž๐ฅ๐ข ๐ญ๐ฎ๐ฐ๐š๐ฎ๐ง๐ ๐ž ๐ฆ๐ค๐จ๐ง๐จ.

Lissu, Heche na Lema hawa ni rafiki na ndugu wa haki. Kujitoa kwao kupigania haki za mtu & watu wowote kwao ni jambo la kawaida. Binafsi kwangu kila mmoja amehusika kunisaidia kupigania haki zangu tangu mwaka 2016.

Heche na Lema walifanya mchakato wa kunitorosha nchini mwaka 2018 wakati wa jaribio la utekaji dhidi yangu katika ziara ya makamu Rais mkoa wa Songwe na Mbeya.

Kwa mujibu wa mmoja wa watekaji aliyeamua kutoa taarifa za kunisaidia alisema watekaji waliokuwa kwenye ziara ya makamu wa Rais walikuwa na kazi mbili, moja ilikuwa ni kunipoteza na kazi ya pili ilikuwa kufanya uchunguzi wa tuhuma za RC wa Songwe wakati huo alikuwa akiitwa Chiku Galawa.

Nilimpigia Simu heche muda huo huo na kumsimulia, akachukua hatua kumpigia simu Haonga aliyekuwa mbunge wa Mbozi kwamba afanye awesavyo anitoroshe Vwawa mkoani Songwe mpaka Mbeya kwa wakili wangu Mwabukusi wakati yeye na Lema wanafanya utaratibu wa kunitafutia sehemu salama.

Ni kweli nilifanikiwa kutolokea Arusha kwa gari ya wakili wangu Mwabukusi kabla ya mimi kughaili mpango wa kukimbilia Kenya ambako Lema na Heche waliandaa mazingira. Nikiwa uhamishoni Arusha baada tu ya ziara ya makamu wa Rais kutamatika, ikulu ilitoa press statement ambayo ndani yake moja ya taarifa zilikuwa ni kutumbuliwa kwa yule RC wa Songwe ambaye watekaji walisema wamekuja kufanya uchunguzi dhidi yake na kunipoteza mimi. Hapo niliamini kweli nilikuwa kwenye target. Wakati wote niko Arusha Lema ananichukua na kunipeleka lunch na dinner wakati wote huku akinitia moyo.

Lissu kaka yangu mpendwa alifika Oysterbay baada ya kutekwa na kuteswa na polisi kisha kusafirishwa mpaka Dar mwaka 2016. Baada ya kufikishwa Dar nilichukuliwa na vikosi vya task force mpaka mikocheni kwenye moja ya nyumba zao za mateso nikaanza kuteswa huku nikiwa nimevuliwa nguo zote. Niliteswa kutwa nzima kabla ya kurudishwa Oysterbay na baadaye kupelekwa hospital ya Mwananyamala kutokana na hali yangu kuwa mbaya.

Baada ya matibabu nilirudishwa Oysterbay. Lissu alifika na nilisikia mahabusu waliokuwa wakichungulia dirishani wakiimba Lissu ! Lissu! Huku wakisisitiza kwamba Mdude hapa umetoka kuna siku Lissu alikuja hapa usiku wa saa sita na aliwatoa watu. Kwanza nilikuwa nashindwa kusimama kutokana na maumivu ya kipigo ila nilivyosikia Lissu yuko nje anaingia pale kituoni nilisimama kwa furaha na ujasiri.

Kwanza Lissu alipiga mkwala kwa RPC wa Kinondoni kutaka nipelekwe mahakamani au nipewe dhamana. Mimi ndio mtu wa kwanza kumsimulia Lissu uwepo wa nyumba za mateso kwa raia wakiwemo wapinzani wa serikali. Lissu akaniahidi kwamba anaenda kufanya press kwa lugha ya kiswahili na kingereza ili dunia ijue wapinzani wanavyoteswa na serikali.

Lissu huyu hakuishia hapo akaenda bungeni kuzungumza kuhusu mateso yangu na nyumba za mateso kwa ajili ya wakosoaji ya serikali.

Hivi katika mazingira haya ni nani unaweza kuja ukaniambia hawa watu ni vibaraka wa serikali nikakuelewa? Watu wanaojitoa kutetea haki namna hii tangu wakawa vibaraka wa serikali? Kwamba hawa wakaa kimya tukitekwa, tukiumizwa ndio wapinzani wa kweli halafu akina Lissu ndio vibaraka? Labda mgonjwa wa akili ndio ataamini.

Watanzania wenzangu tuwaunge mkono wapigania haki hawa katika nafasi zozote wanazogombea iwe ndani ya chama au serikali.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.View attachment 3186317
Sawa, upande wako umeeleweka.
 
Sawa mkuu
 
Nakubaliana na mdude
 
Back
Top Bottom