Dawa ya mwizi nawe muibie! 😀Bora mvuta bangi kuliko jizi la kura.
Wanaomfahamu wanasema anatumia madawa na wewe leta ufahamu wako kuhusu huyu mtumia madawa ya kulevya nyumbu Mdude!!Anatumia madawa au anawakosoa bila hofu viongozi majizi?
Kifo cha mateso kikoje mkuu? Vipi ulishakipitia? Tupe uzoefu wako?Lakini mwisho wa haya yote ni kufukiwa chini, na hawa wenye Mamlaka huwa wanakufa vifo vya mateso na magonjwa yasiyotibika.
Kuwa na Mamlaka na vyeo isiwe sababu ya kumtesa binadamu mwenzako. binadamu tumezidiwa utashi hata na Wanyama wengine. Yote haya ni kwa sababu wenye Madaraka na Mamlaka wanataka watu wasifie au watende na kukubaliana nao kwa kila wanalofanya.
Naamini Mungu ndiye mwana demokrasia namba 1 duniani japo haonekani, kwanini sisi binadamu hatupendani ? Tunatumia mamlaka yetu vibaya kwa kuumizana sisi kwa sisi ?
Wamwachie locker up apelekww mahakamani na huko haki yake itapatikana.
Hatujali anatumia nini, tunajali ukweli anaoongea.Wanaomfahamu wanasema anatumia madawa na wewe leta ufahamu wako kuhusu huyu mtumia madawa ya kulevya nyumbu Mdude!!
Unategemea mtumia madawa awe na busara!!?Hatujali anatumia nini, tunajali ukweli anaoongea.
Kipindi cha jiwe alikutana na kesi mbaya sana lakini hakomi safari hii wamfinye kweli kweliMdude atanyooka this time hatumuachii, Rais hatukanwi
USSR
Hatutaki busara, tunataka ukweli tu. Hayo majizi ya kura yana busara, au unatishwa na hizo Suit wanazovaa kwa kodi za wananchi?Unategemea mtumia madawa awe na busara!!?