Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Lakini mwisho wa haya yote ni kufukiwa chini, na hawa wenye Mamlaka huwa wanakufa vifo vya mateso na magonjwa yasiyotibika.
Kuwa na Mamlaka na vyeo isiwe sababu ya kumtesa binadamu mwenzako. binadamu tumezidiwa utashi hata na Wanyama wengine. Yote haya ni kwa sababu wenye Madaraka na Mamlaka wanataka watu wasifie au watende na kukubaliana nao kwa kila wanalofanya.
Naamini Mungu ndiye mwana demokrasia namba 1 duniani japo haonekani, kwanini sisi binadamu hatupendani ? Tunatumia mamlaka yetu vibaya kwa kuumizana sisi kwa sisi ?
Wamwachie locker up apelekww mahakamani na huko haki yake itapatikana.