Mdude Nyagali anadai Dkt. Tulia anataka Kumuua

Huyu jamaa ana mganga mkali sana...
 
Kwa yaliyomtokea Marehemu Alphonse Mawazo siwezi kushangaa,hawa maccm ni wauaji kweli kweli.
 
Hizi Kiki za Kijinga Kweli. Mahusiano ya Mdude kuuwawa na Uhusika wa Tulia naona imekaa Kisengele Nyuma. Hii ni Sawa Fundi Gari aonewe wivu na Fundi Ndege. Au Mkulima wa ndizi amuonee Wivu Mbeba Mizigo ya Wakulima wa Ndizi. Au Mkaanga Mandazi aonewe Wivu na Engineer wa Barabara😂😂😂. Nb Acheni Kutuvunja Mbavu akina Mdude
 

Mdude ana akili sana, na anapendwa na watu wengi sana, lazima ana some sort of ushahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…