Hennes kolon
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 673
- 1,294
sitaki kumbeza na siamini kukubaliana nae, lolote linaweza kuwa kweli. muhimu hutakiwi kupuuza taarifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdude aache kutuchafua Green Guards.
Jamaa ana cheap politics sana....
Juha
Haya ni mawazo yako yakijinga.ila pia inaonekana unapenda viongozi wanaofumbia ujinga ndani ya nchi.Inawezekana huyo unayemuona hafai akawa bora zaidi kuliko unaowaona wanafaa.Imagine chadema wanatarajia wakishika nchi tuwe na viongozi type ya hili rubbish[emoji3525]! kazi ipo.
Bila shaka ni ndoto kama zile za Lema.Ni ajabu hata baada ya kutoka usingizini aliendelea kuota hadi akaweka ndoto kwenye maandishi.Kwenye ukurasa wake wa Mtandao wa X, anadai Tulia anapanga mipango ya kumuua. Huyu Mdude anapenda ku trend kwa mambo ya kizushi.
---
Kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) Mdude Nyagali anaandika haya:
"Nimepata taarifa za siri kutoka kwa msamalia mwema kwamba Tulia amefadhili kikundi cha GreenGuard kutaka kuniua. Kwamba Green Guard hao wameanza kuuliza ninakoishi na nikakoshinda ili iwe rahisi kufanya unyama juu yangu. Na mimi nimeanza kupeleleza majina ya green Guard hao wote.
Pili ni kwamba Tulia anapaswa kujua kuwa Mdude analindwa na damu ya Yesu, Mungu Mwenyezi yupo pamoja na Mdude ndio maana kila hila zikipangwa juu ya Mdude zinakwama. Mwisho kabisa ni kwamba hizo levo za kuvamiwa na Green Guard + polisi zilishazivuka niko mbele sana."
CCM kuua siyo issue mkuuHaya ni mawazo yako yakijinga.ila pia inaonekana unapenda viongozi wanaofumbia ujinga ndani ya nchi.Inawezekana huyo unayemuona hafai akawa bora zaidi kuliko unaowaona wanafaa.
Kwenye ukurasa wake wa Mtandao wa X, anadai Tulia anapanga mipango ya kumuua. Huyu Mdude anapenda ku trend kwa mambo ya kizushi.
---
Kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) Mdude Nyagali anaandika haya:
"Nimepata taarifa za siri kutoka kwa msamalia mwema kwamba Tulia amefadhili kikundi cha GreenGuard kutaka kuniua. Kwamba Green Guard hao wameanza kuuliza ninakoishi na nikakoshinda ili iwe rahisi kufanya unyama juu yangu. Na mimi nimeanza kupeleleza majina ya green Guard hao wote.
Pili ni kwamba Tulia anapaswa kujua kuwa Mdude analindwa na damu ya Yesu, Mungu Mwenyezi yupo pamoja na Mdude ndio maana kila hila zikipangwa juu ya Mdude zinakwama. Mwisho kabisa ni kwamba hizo levo za kuvamiwa na Green Guard + polisi zilishazivuka niko mbele sana."
huyo dogo wamemtengeneza wao wenyewe. wangempotezea tangu enzi za magu asingekuwa jeuri hivi. miaka karibu kumi kila mwaka anafunguliwa mashtaka na wanashindwa. kwa nini asiwe jeuri?Kwenye ukurasa wake wa Mtandao wa X, anadai Tulia anapanga mipango ya kumuua. Huyu Mdude anapenda ku trend kwa mambo ya kizushi.
---
Kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) Mdude Nyagali anaandika haya:
"Nimepata taarifa za siri kutoka kwa msamalia mwema kwamba Tulia amefadhili kikundi cha GreenGuard kutaka kuniua. Kwamba Green Guard hao wameanza kuuliza ninakoishi na nikakoshinda ili iwe rahisi kufanya unyama juu yangu. Na mimi nimeanza kupeleleza majina ya green Guard hao wote.
Pili ni kwamba Tulia anapaswa kujua kuwa Mdude analindwa na damu ya Yesu, Mungu Mwenyezi yupo pamoja na Mdude ndio maana kila hila zikipangwa juu ya Mdude zinakwama. Mwisho kabisa ni kwamba hizo levo za kuvamiwa na Green Guard + polisi zilishazivuka niko mbele sana."
Yaani yule ngedere aka tulia ndiyo unamlinganisha na jabali Mdude?Yaani Mdude anajipa umuhimu asionao, ana nini hasa mpaka dk tulia awaze kuua hicho kidudu mtu?
Rubbish kwa kusema kuna watu wanataka kumuua,rubbish huku akiwa amepitia mateso ambayo hayaelezeki kutoka kwa vyombo vya dola,rubbish wakati amemuangusha RCO mahakamani?Comeon man!!!!!!!!!!!!!!!!Imagine chadema wanatarajia wakishika nchi tuwe na viongozi type ya hili rubbish[emoji3525]! kazi ipo.
Ba-vichaaa mnachekesha kweli, asa huyo fundi simu mdudu ndo wakumlinganisha na kiongozi mkubwa wa mhimili wa Bunge? So 2025 sugu mnamtema jimbo la mbeya mjini then mdudu ndo atapeperusha bendera ya chadema?Yaani yule ngedere aka tulia ndiyo unamlinganisha na jabali Mdude?
Ngedere aliyechukua bandari zetu kwa kupewa 2.5m USD ya kununua ndizi na mahindi agugumie?
Ngedere anayeharibu hadhi ya jumba la wawakilishi wa wananchi kugeuka klabu ya chimpumu!?
Huo udokta ni wa +++___pi tu! halafu hiyo sura ya ngedere anavalishwaga fulana wakati wa kamchezo tu!
USSR na ujinga huu unamuaibisha Vladimir PutinKipuuzi kamoja eti level za polisi kametoka
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
LISSU alisema kuna gari limekuwa linamfuatilia Mkasema Uzushi kapigwa Risasi hata kufungua faili la Uchunguzi hamtaki!chadema kwa kuchafua vingozi wa nchi hapana kwa kweli
Wewe ni taahira kabisaMdude ni mwehu tu.